G
Wapo kibao tu sshvSingle mother anaoana na single father ni mara chache sana kukuta single mother anaolewa na mwanaume ambaye Hana mtoto hasa kwa ndoa za kikristo ila kwa ndoa za kislamu single mothers wanaolewa sana either anakuwa ni mke wa pili
😀😀Ni kweli kabisa,mie mwenyewe Kuna ka Binti single mother nakivizia
Hahahaha
Vipi huyo alikufanyaje?Kuna mmoja huyo 🙌
Ah kmmmkee zake alininyosha knoma, nashukuru Mungu nmejitoa salama huko
Sio hela kubwa ni sawa na 180000 kwa mwezi ungemkubalia tu labda kama anavipengele
Tuachane Na hayo mkuu, ila n yale yale ya siku zote ya single mother, Hua kama vile n tabia zao wote n mojaVipi huyo alikufanyaje?
Sawa baba wa kambo umesikikaKila siku wanaume na makende yenu busy discussing single mothers,kama hujazaa naye au huna mahusiano naye unasumbuka nini, wengi wenu mtakuwa na akili za kijima and very abusive,acheni upumbavu
Tabia za wanawake mara nyingi zinafanana. Chukua kundi lolote mfano single mothers, divorcee women, 30+ year old women, career women, broke women n.k halafu wafanyie tafiti ya patterns za tabia zao utaona wengi wao wanafananaTuachane Na hayo mkuu, ila n yale yale ya siku zote ya single mother, Hua kama vile n tabia zao wote n moja
You will learn the hard waySingo maza haonewi huruma...jaribu
KaribuNimekuja
Karibu
Sorry, Kwa Mfano ikitokea Baba yako amefariki akamwacha Mama yako akiwa mjane, humsalimii Mama yako? 🤣Mm nikishajua ww n singo maza hata salamu skup
Makende ni nini?Kila siku wanaume na makende yenu busy discussing single mothers,kama hujazaa naye au huna mahusiano naye unasumbuka nini, wengi wenu mtakuwa na akili za kijima and very abusive,acheni upumbavu
Hakuna cha maana hapaNgoja niweke kambi hapa