Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nani kakwambia kupindua lazima kuwe na matumizi ya silaha?Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo raia mmoja au wawili wasio na mfungamano na Makundi yeyote yaliothibitishwa kwa matumizi ya silaha kuwa na uwezo wa kuingusha serikali kuu mamlakani wakati huo Nchi ipo katika utulivu wake wa siku zote.
Kutafsiri hivo vifungu hiyo ni kazi ya Mahkama ndio itatoa hiyo tafsiri kama ilivo fanya kwa Kesi ya Mkataba wa BandariNi kifungu kipi kwenye Penal Code cap.16 R.E.2022 kinachosema kuwa hicho ulichokisema ni kosa.
Kwani wilbroad alisema nini, "tuache kujitoa ufahamu" kauli sikuzote hutangulia na matendo kufuata,this is common principles!Hakika kauli ya IGP wambura haifai na ni ya aibu.
Hili ndilo tatizo la kuteua watu wasiokuwa na uwezo zaidi ya janja janja tu au sifa za pambio zinazopigwa na wapambe.
Nilishangazwa pia na hii kauli alipoitoa tu nashukuru haki za binadamu pia wakaliona hilo.
Msikilize vizuri huyo Mama na kama huelewi nakujuza tu nchi haiwezi kupinduliwa kwa kauli iliyoongelewa clubhouse msiwe mnapenda kukuza mambo na kuileta taharukiKwani wilbroad alisema nini, "tuache kujitoa ufahamu" kauli sikuzote hutangulia na matendo kufuata,this is common principles!
Kauli ndicho chanzo cha kila kitu, kauli kama hii haiwezi kupuuzwa,ukizingatia Dr mihogo sio,verified madman.Msikilize vizuri huyo Mama na kama huelewi nakujuza tu nchi haiwezi kupinduliwa kwa kauli iliyoongelewa clubhouse msiwe mnapenda kukuza mambo na kuileta taharuki
Wambura kadhalilisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama kwa kuropoka kwake
Ukatili sio uasili yake, anafanya hivyo kwa sababu ya mamlaka alipewa, hivi tunadhani mwenye mamlaka akiwa kinyume huo Ukatili atafanya?? Na je tunadhani Ukatili huo anafanya kila. Mtu a nafurahia? Jiulize mambo ya ndani yanatokaje... Jua kikulacho kiko nguoni Mwako...hata uwe unalindwa kiasi gani... Chooni unaingia peke yako... 😁 😁 Iko siku wenye jeuri atabaki peke yao... Iwe duniani au kaburini... Hapo ndio utajua huwa kweli ni jasiri au kujidai!Kwa msiomfahamu Wambura, rejeeni kwenye operesheni ya panyaroad ndo mtafahamu ni mtu wa aina gani.
Jamaa ni katili namba moja. Ni muhimu kuelewa kuwa haki ya kuishi ni ya asili zaidi ya vipengele vya katiba.
Mungu ataamua kwa haki
Mshauri makini hachoki kutafuta njia yenye mwelekeo wa kumsaisia mshauriwa.Ukatili sio uasili yake, anafanya hivyo kwa sababu ya mamlaka alipewa, hivi tunadhani mwenye mamlaka akiwa kinyume huo Ukatili atafanya?? Na je tunadhani Ukatili huo anafanya kila. Mtu a nafurahia? Jiulize mambo ya ndani yanatokaje... Jua kikulacho kiko nguoni Mwako...hata uwe unalindwa kiasi gani... Chooni unaingia peke yako... 😁 😁 Iko siku wenye jeuri atabaki peke yao... Iwe duniani au kaburini... Hapo ndio utajua huwa kweli ni jasiri au kujidai!
Si fanyi kqzi ya serikali na wala kiongozi wa serikali lakini wahuni wanaotaka kutuharibia amani ya nchi lazima wadhibitiwe#Brother, if you are currently a government official or public servant behaving this way, you are hereby humbly advised to abstain from siding with the regime as you may be fixed when a different administration assumes power; so be moderate with your partiality statement such that you do not regret when the time comes. It is up to you to abnegate prevailing on the abomination side for a better tomorrow.
Mimi nina akili ndogo,Slaa kapendekeza Mapinduzi na amehimizaKama unaakili ndogo huwezi muelewa ila akili kubwa ndiyo itaelewa mama kaongea vizuri sana
Ngoja wazibinye korodani aseme huko kwenye system yuko na nani hawezi kutuharibia amani.Sasa kama hana huo uwezo ana ropoka ili iweje?
Nimekupa angalizo halisi ya kazi ya karma ni nini 'is a revolving dude that hits anybody at any time for the purpose without want'Si fanyi kqzi ya serikali na wala kiongozi wa serikali lakini wahuni wanaotaka kutuharibia amani ya nchi lazima wadhibitiwe
Kama sarakasi hizi za uhaini zingekua deep naamin mfumo wa usalama Tanzania ungefanya uchunguz wa kina tena kimya kimya!! But sio kutangaza public et kuna watu wanataka kufanya uhaini, hii issue ni very sensitive!! NB; Hili nimeandika only kwa wanaojielewa na wasio wapokea bahasha za pesa ya kula!!Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.
Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.
-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.
Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.
========
Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.
Thank you,kila tatizo lilianza na kauli, kauli inaweza kuzaa "mass confrontations" HAYA MAKINA ANANILEA NKYA HAYANA AKILI KABISA,TUNAPIGANA KUZUIA CHANZO,AU "SPARK WORD"Hata Zanzibar Sultani alipinduliwa na mapanga na marungu.
Unapohamashisha uhaini kwa jamii hata kama huna mifumo na silaha za kutekeleza azima Yako, Bado unaleta madhara makubwa. Hali hii ikiachwa na kuendelea tu hata kama wanaoongea ni wehu Moja ya madhara yake ni kwa wananchi kutoiheshimu serikali Yao.