kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mkono wa sweata weweAcheni ungese
yaani nyie watz mmeridhika na hali zenu halafu mnategemea Mbowe aje awasemee nyambavuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkono wa sweata weweAcheni ungese
yaani nyie watz mmeridhika na hali zenu halafu mnategemea Mbowe aje awasemee nyambavuuuuu
Tangu 1992 wanalalamikia tume huru hadi leo 2020 malalamiko ni hayohayo kwanini wasitumie mbinu tofauti ya kupata hiyo tume huru. Huwezi kutumia kanuni ileile kutatulia tatizo lililokushinda.Wewe Acha Hizoo bana,Unaujua Mchakato wa Katiba Ulivyo Mrefu?
Halafu Katiba hii hiiiii,mambo mangapi yapo kwenye Katiba na Yanavunjwa hakuna wa Kukemea,?
Acha kumpotosha Mwenzio,hiyo Katiba iliopo Inafuatwa 100%?
Mangapi watu wamelalamika na Imekuwa Kimya,?
Bora Adai hicho anachokidai tuu,acha kumpotezea muda,kwa vitu ambavyo havitekelezeki bana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kula Like,like like Tena Ikiwezekana Mtag mtoa mada ili aje akujibu hapa,isijekuwa katumwa ili ampotoshe mbowe na waTZ wapoteze muda
Cc:
kavulata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kama akina Nyerere na wenzake angekuwa kama Mbowe Tanzania ingekuwa bado inatawaliwa hadi leo na mwingereza
Mkuu kama Nyerere na wenzake wangekuwa kama akina Mbowe Africa ingekuwa bado inatawaliwa.Mkuu Kula Like,like like Tena Ikiwezekana Mtag mtoa mada ili aje akujibu hapa,isijekuwa katumwa ili ampotoshe mbowe na waTZ wapoteze muda
Cc:
kavulata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msamhehe tu,Hawa Quoma ndio wanafanya jf ionekane kama sehemu ya porojo. Njaa znawasumbua sana mbwa hawaHalafu boss kila post unapiga kelele kwamba wapinzani wanataka uhuru wa kutukana na kukejeli, kile kinachoitesa roho yako ndio hicho unachokifanya dhidi ya wapinzani! Sasa ukitaka uoge matusi, rudia tena haya matusi ya kishenzi ndio utaipata fresh.
Heri hata form 4 failure kuliko hawao "On cello" wenye kiingereza mpaka wachina hawajui sasa waingie kwenye gari au nyumba!!!Mbowe ni form 6 failure anayejua tu kuuza maneno, hana tofauti na Steve Nyerere kichwani. Katiba ya nchi haibadilishwi kwa dharura wala kwa matakwa ya kikundi cha manyumbu au beberu.
Mkuu Tatizo Sio Vyama vya Upinzani Kuingia ikulu,angalia Haswa Ubunge Mkuu,anashinda huyu anaweza tangwa Mwingine,umesema Upinzani haujawa Tayari,ni lini Watkuwa Tayari?Mkuu kama Nyerere na wenzake wangekuwa kama akina Mbowe Africa ingekuwa bado inatawaliwa.
Tukubali tu kuwa vyama vingi havijawa tayari kuingia Ikulu. Wasomi wetu ni waoga kiasi cha kuicha kazi ya siasa mikoni mwa wajasiliamali, wasomi wetu wakiwemo wenye PhD wanashindwa kujiajiri sembuse siasa.
Kivipi.Wewe una mkono wa suweta nn?
Wasaidie basi kutafuta hiyo mbinu. Being hero behind the keyboard can't help.Tangu 1992 wanalalamikia tume huru hadi leo 2020 malalamiko ni hayohayo kwanini wasitumie mbinu tofauti ya kupata hiyo tume huru. Huwezi kutumia kanuni ileile kutatulia tatizo lililokushinda.
Mbowe ni form 6 failure anayejua tu kuuza maneno, hana tofauti na Steve Nyerere kichwani. Katiba ya nchi haibadilishwi kwa dharura wala kwa matakwa ya kikundi cha manyumbu au beberu.
Nani alikwambia katiba inabadilishwa kwa vifungu vya dharura?,kajipange upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hali ya kukosa umoja wa kitaifa inafanya liccm lizidi kukanyaga katibaHapana mkuu hawajapata tu kiongozi shupavu mwenye sera mbadala wa kuunganisha fikra na nguvu zao. Viongozi wako kifamilia na kikanda zaidi kuliko kitaifa. Uongozi uko ki ajira zaidi kuliko kitumishi na kihuduma. Viongozi wa vyama ni wakwepa kodi pia, hivyo wanakosa ujasiri wa kupoint finga kwa mtawala
Natokea Gamboshi mjiniMkono wa sweata wewe
Umelewa ruzuku wewe kama mambo hayaendi mbona mbona mnagoma kupisha kiti wengine?Mkuu msamhehe tu,Hawa Quoma ndio wanafanya jf ionekane kama sehemu ya porojo. Njaa znawasumbua sana mbwa hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
MMkuu Tatizo Sio Vyama vya Upinzani Kuingia ikulu,angalia Haswa Ubunge Mkuu,anashinda huyu anaweza tangwa Mwingine,umesema Upinzani haujawa Tayari,ni lini Watkuwa Tayari?
Unaja watu wanataa kuona upande wa pili pia Free and fair,
Tuseme tuu ukweli alienacho anatetea kwa Hali na Mali kwa Mbinu zote hata Chafu aendelee kuongoza Dola,Hapo ndipo lilipo Tatizo!
Jibu Swali tume liopo ni Huru?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Kwa mijibu wa katiba yetu tume ni huru kabisa. Kama unaona sio huru italazimu kifungu cha katiba kinachoelezea namna tume inateuliwa kibadilishwe kwanza. Vinginevyo kufanya kinyume ni kuvunja katiba yetu
Kama akili imegota apishe wwngine wenye mbinu mbadala za kupata tume huru.Wasaidie basi kutafuta hiyo mbinu. Being hero behind the keyboard can't help.
Hakuna mtu anayepaswa kumbeza Mh. MBOWE, ninachosema mm ni uwezo wake umeishia hapo pa kuendelea kudai kitu ambacho kama kitatekelezwa basi aliyekitekeleza atakuwa amevunja katiba. Ndio maana hata Waziri Mkuu alimwambia Mh. Mbowe kuwa tume ya uchaguzi ipo vile kwa mijibu wa katiba yetu. Sasa Mbowe anapaswa kufahamu kuwa ni katiba yenye matatizo sio tume ya uchaguziTatizo hujui nini maana ya elimu, kumfananisha Mbowe na Stive Nyerere ni uchoko wa akili yako. Elimu unaipata baada ya kukaa darasani au any where kwa kipindi fulani kilichopangwa. Lakini hekima, uongozi na busara zote zinatoka kwa Mungu.
Wewe unaongea kwa ajili ya chuki zako na Mbowe, huenda unamuhofia Sana ndio maana wewe mwenye elimu maisha yako ni kama mbingu na ardhi na maisha ya Mbowe. Tafakari tena kabla hajaongea kuhusu Mh Mbowe.
Ebu niwekee wenye PHD ambao kwako wewe ndio unaowaamini ili tuwalinganishe na Mbowe, nini wamefanya, wamegundua nini, na wameisaidia nini nchi yetu.
Ndipo utakofuta huu uchoko wako wa akili.Hakuna mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndugu yetu mbona hakupeleka mswada bungeni kudai tume huru badala yake anamuomba Waziri Mkuu ampe tume huru.Tatizo mmekaririshwa tu. Unajua hii katiba tulionayo, imefanyiwa amendment zaidi ya mara 4? Je hizo amendment zote ilipigiwa kura ya maoni?
Acheni upoyoyo katiba inabadilishwa kwa njia nyingi, acheni kumsikiliza Polepole amekuwa chizi baada ya kushiba. Kipindi anatembea kwa mguu ndio alikuwa na akili.
Katiba inadalishwa kutoka na mahitaji ya wakati, yawe ya kipindi kifupi, cha Kati na cha muda mrefu.
Hitaji letu sasa ni Tume huru ya uchaguzi, inatakiwa upelekwe mswaada bungeni kwa ajli ya kuunda tume huru.
Sasa iatundwaje, utaratibu wake, wajumbe wake na kazi zake hizo zitajadiliwa bungeni na kupitishwa kuwa sheria.
Hapo ndio utakapoingizwa kwenye katiba.
Sasa meambukizwa ujinga, na kujifanya mmesoma kumbe mafi ya umbwa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app