kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ajivue uwenyekiti basi kama hawezi kuwaunganisha wafuasi wake kudai mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusika na uundwaji wa tume huru. Sio rahisi mtu mmoja kudai katiba nje ya chama kilichosajiliwa kisheriaMbowe kaamua kudai tume huru ya uchaguzi, ww dai katiba mpya. Wapinzani walipokaa kimya ww mbona hukudai katiba mpya?