RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
Hizo sheria za kodi nani anazirekebisha na kuondoa urasimu!!?Siwezi kumfaidisha mwanasiasa. Wala hanigawii mshahara wake. Hata bunge lingefutwa tu halina faida.
Mimi nataka turekebishe mifumo ya kodi na kupunguza urasimu wa biashara nchini.
Jitahidi kujifunza, ili ufahamu wako ukae sawa! Tofauti na hapo, unataka kuchuma machungwa kwenye mwembe, sina uhakika kama utafanikiwa!