Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

Labda familia yake ndio iseme maana ndio wanaofaidika na huo uchaguzi wake hasa ndani ya cdm lakini katika ngazi Taifa sisi tume huru ipi wakati miaka yote uchaguzi huru na wa haki na.pia Rais Magufuli anatosba hakuna haja ya uchaguzi tena wala nn
Akili za kijinga kama hizi, bado zipo mtaani zinafanya nini? si bora tukubadirishe na gunia la mahindi.
 
Nyie vyama vya upinzani unganeni muwe na msimamo, mjenge hoja ya kushawishi watu tususie uchaguzi kama hakutakuwepo na tume huru.

Tamaa na ubinafsi wekeni pembeni..kwa pamoja tuirudishe demokrasia.
Hatususi uchaguzi, hata kama tume haitakuwa huru tutashiriki. Ila uhakika ni kwamba watawala watatuomba tusitishe mikakati yetu na hapo hatutakuwa na muda wa kuwasikiliza. Wakati ni sasa kila Mtanzania asema tunataka tume huru tusisubiri yaharibike
 
Siwezi kumfaidisha mwanasiasa. Wala hanigawii mshahara wake. Hata bunge lingefutwa tu halina faida.

Mimi nataka turekebishe mifumo ya kodi na kupunguza urasimu wa biashara nchini.
ndo ulivyo na akili ndogo. hutaki bunge, uoni faida ya wanasiasa. wakati huo unataka urekebishiwe mifuo ya kodi. hujjui hiyo mifumo ni shereia zinazotungwa na bunge na hao wanasiasa?
 
Tetea kadri unavyoweza mkuu. Ila jua wanasiasa wengi wana akili ndogo sana kuliko mimi.

Kodi na urasimu vikipunguzwa itachochea biashara nchini na kukuza uchumi.

Masuala ya uchaguzi ni faida ya mwanasiasa na familia yake tu.
 
Tatizo hujui siasa ni nini. Kwa kifupi na kwa msaada wako Siasa ni mfumo mfumo wako wa maisha, siasa ndo inakupangia wewe uvae nini, ule nini, ufanye biashara wapi, kodi yako ikusanywe je, usome shule za aina gani. yote haya na mengine yanaamliwa na siasa na wanasiasa. ukisikia mtu anasema hataki siasa na wawanasiasa mpe pole hajui halitendalo
 
Siasa kwa afrika ni kudanganyana na kuangalia tumbo la mwanasiasa.
 
Per dm sh ngapi niunge mkono juhudi za katibu otherwise afanye kazi hiyo mwenyewe
 
Siwezi kumfaidisha mwanasiasa. Wala hanigawii mshahara wake. Hata bunge lingefutwa tu halina faida.

Mimi nataka turekebishe mifumo ya kodi na kupunguza urasimu wa biashara nchini.

Kwani hiyo mifumo hiyo inabadilishwa na nani zaidi ya wanasiasa? Umeongea kwa sifa ukidhani umeongea jambo la maana kumbe uhanithi mtupu.
 
Hatususi uchaguzi, hata kama tume haitakuwa huru tutashiriki. Ila uhakika ni kwamba watawala watatuomba tusitishe mikakati yetu na hapo hatutakuwa na muda wa kuwasikiliza. Wakati ni sasa kila Mtanzania asema tunataka tume huru tusisubiri yaharibike
Huo ni ujuha..!
Mnajua wazi kabisa kwamba ushindani huru na wa haki bila tume huru ni ndoto, sasa kama haipo mnashiriki uchaguzi mkitegemea miujiza gani kwenye matokeo?
 
Tetea kadri unavyoweza mkuu. Ila jua wanasiasa wengi wana akili ndogo sana kuliko mimi.

Kodi na urasimu vikipunguzwa itachochea biashara nchini na kukuza uchumi.

Masuala ya uchaguzi ni faida ya mwanasiasa na familia yake tu.
Hiyo kodi atapunguza nani, kama siyo mwanasiasa? Ni sawa na mtu anayesema anataka ndizi lakini hataki mgomba!!!
 
Akili za kijinga kama hizi, bado zipo mtaani zinafanya nini? si bora tukubadirishe na gunia la mahindi.

Utakuwa umemuibia huyo mwenye gunia la mahindi; labda bakuli la mahindi. Hata hapo napo utakaepata bakuli la mahindi itabidi ujisifu kwa kupata a very good return.
 
Wapinzani waombe Na msaada mataifa ya nje.kwa tume hii ya maccm Ni kazi bure
 
Labda familia yake ndio iseme maana ndio wanaofaidika na huo uchaguzi wake hasa ndani ya cdm lakini katika ngazi Taifa sisi tume huru ipi wakati miaka yote uchaguzi huru na wa haki na.pia Rais Magufuli anatosba hakuna haja ya uchaguzi tena wala nn

Akili za CCM hizi! Hakuna mwana CCM anayeitaka tume huru!Maana mnajua hampedwi na hamuzi kushinda uchaguzi chini ya tume huru
 
Msikilize Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika
Wanasiasa musitupotezee muda. Siasa ni ajira yenu na mara zote mimi nimeamini hamuhangaiki na mambo muhimu ya wananchi. Shida yenu ni kurudi Bungeni muendelee na ajira.

Kuna mambo muhimu ambayo mumeshindwa kuyadai sasa munakuja na haka kamoja ka uchaguzi. Siasa ya nchi ni siyo uchaguzi tu!
 
Back
Top Bottom