wakatanta
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 2,594
- 3,158
Hapa umewamaliza kabisa ,safi sana kwa ufafanuzi murua,wasipokuelewa Shari yao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vigumu sana na fujo kwa wapinzani kudai tume huru ya uchaguzi wakati uundwaji wa tume ya uchaguzi na kazi zake vyote vipo kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa.
Ni makosa kuunda tume ya uchaguzi iliyo kinyume na vile Katiba inavyoagiza. Miaka 4 sasa baada ya uchaguzi wapinzani walikuwa kimya kwa visingizio wanavyovijua wao bila kujadili tatizo mama la chaguzi zetu ambalo ni katiba.
Dakika za lala salama kuelekea uchaguzi mwingine ndiyo wanakurupuka na kumdai Waziri Mkuu tume huru ya Uchaguzi. Ndiyo maana na Waziri Mkuu hakupata tabu ya kumjibu Mbowe kuwa katiba iliyopo ni kwa mujibu wa Katiba yetu.
Tunaomba wapinzani msitafute mchawi kaeni kimya kuhusu tume huru.
Sent using Jamii Forums mobile app