Hivi Bashiru nae ni PhD holder? ccm anafanya biashara gani za kuweza kutoa elimu bure kwa watanzania,au kujenga barabara na miundombinu ya maji,Kama ana PhD basi nchi yetu itakuwa imepigwa laana si bure,sasa Kama msomi wa PhD anafanya siasa za level ya Msukuma Kuna nini tena hapoBinafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
View attachment 1310741
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ,elimu na afya zinatokana na (pesa) kodi za wananchi... yeyote anaweza kufanya bila kujali anatoka upande upi..
Kweli mkuu kauli hii imebeba ujumbe mzito sana,kwamba PhD aliacha jalalani pale amebaki kopo tupuAlishasema, sasa hivi yeye ni katibu wa CCM. Msimuuliza maswala ya PHD yake huko jalalani.
Waliopinga Juhudi za Jakaya kuleta Tume huru ya Uchaguzi na kupunguza madaraka ya Rais kwa kuwa tu alikataa Serikali tatu pendekezwa wanapitia kipindi kigumu sana
Ni kweli
Kama miundombinu inaleta wapiga kura, basi wakoloni walipaswa kuwa wanatuwala mpaka leo, maana wao walijenga reli, walileta meli, walijenga mashule, hospitali, miundombinu ya umeme nk. Je kwanini hao wananchi waliwagomea?
Nunua drier mkuuKwa sasa ndiyo nimetoka shambani kuvuna karanga na nahangaika kuanika maharagwe kama gunia zaidi ya 50 hapa kwetu tatizo mvua zinasumbua sana Kakonko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu kauli hii imebeba ujumbe mzito sana,kwamba PhD aliacha jalalani pale amebaki kopo tupu
Kosa kubwa la wakoloni lilikuwa ni kutunyanyasa,kutubagua kutudharau na atukuwapinga kwa sababu walituletea maendeleo.Watu walipinga uonevu.Kama miundombinu inaleta wapiga kura, basi wakoloni walipaswa kuwa wanatuwala mpaka leo, maana wao walijenga reli, walileta meli, walijenga mashule, hospitali, miundombinu ya umeme nk. Je kwanini hao wananchi waliwagomea?
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
View attachment 1310741
Sent using Jamii Forums mobile app
Majuto mjukuu,, na sioni kama itakaa itokee tena, its gone. Wasubiri miaka 100 tena kwa vizazi vitakavyokuwepo.
Awamu hii uchague mawili usomi taaluma ufe njaa au ujitoe ufahamu yaani uweke elimu pembeni ucheze mdundo wa ngoma usife njaa.Hivi Bashiru nae ni PhD holder? ccm anafanya biashara gani za kuweza kutoa elimu bure kwa watanzania,au kujenga barabara na miundombinu ya maji,Kama ana PhD basi nchi yetu itakuwa imepigwa laana si bure,sasa Kama msomi wa PhD anafanya siasa za level ya Msukuma Kuna nini tena hapo
Huku Jakaya nae sometimes akipewa vidonge vyake 'ana washwawashwa'.Waliopinga Juhudi za Jakaya kuleta Tume huru ya Uchaguzi na kupunguza madaraka ya Rais kwa kuwa tu alikataa Serikali tatu pendekezwa wanapitia kipindi kigumu sana
Yuko sahihi na ndivyo ilivyo, hata tume huru ikipatikana Mambo yatakuwa yaleyale
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kubwa la wakoloni lilikuwa ni kutunyanyasa,kutubagua kutudharau na atukuwapinga kwa sababu walituletea maendeleo.Watu walipinga uonevu.
Basi tumeshapotea,kama tumeamua kuongozwa na tumbo basi tumeishaAwamu hii uchague mawili usomi taaluma ufe njaa au ujitoe ufahamu yaani uweke elimu pembeni ucheze mdundo wa ngoma usife njaa.