Unaweza kua navyeti vingi vyakitaaluma ukawa huna AKILI ,vilevile msimshange ishangaeni ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukivimbiwa unakua hujui kwamba unesema hakuna tume huru ya uchaguzi
Alishasema, sasa hivi yeye ni katibu wa CCM. Msimuulize maswala ya PHD yake huko jalalani.
huyu Mwalimu Wangu tangu amekalia hicho kiti na Akili imehama kabisa mungu amsaidie kwa kweli, Mkate wa Kila siku unapokuwa unapatikana bila taabu hata akili huwa inagoma kufikiri, huyu kwenye midahalo pale Nkuruma ndio alikuwa anazungumzia haya mambo ya Demokrasia, Haki na Tume huru leo gafla hata haoni maana ya Tume kisa amepewa shavu, Eeeh Mungu Tunusuru
Swali fikirishi nani anayeweza kuiba kura kati ya watu hawa wawili anaye ratibu upigaji wa kura na anayepiga kuraBinafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI
CCM inatoa salamu za mwaka mpya 2020, niwahakikishie watanzania kuwa tutaongoza siasa safi,ni mwaka wa kuheshimu maoni na uamuzi wa Umma, na tutashinda kwa kishindo kwa kuwa wananchi walihitaji huduma ya maji, elimu bure, afya na sasa wanapata huduma hizo,wananchi sio wanafiki.
CCM inapingana na udhalilishaji unaojitokeza ktk chaguzi, Wanawake kabla ya kugombea wanaitwa majembe, wakichukua fomu za kugombea wanaanza kuchimbwa na kupewa kashfa,wanajazwa hofu na wanaogopa, awamu hii CCM haitakubali wanawake wadhalilishwe na haki ni lazima itendeke kwa wote.
Wapo wanaolilia tume huru iwasaidie kupata ushindi, tume haipigi kura bali inasimamia uchaguzi, chama kisicho na wapigakura kisitegemee tume iwape ushindi, CCM imetafuta wapigakura kwa kutoa elimu bure, afya, maji na barabara, wao waseme wapiga kura wamewapataje.
Wenyeviti wa vijiji na mitaa, ninyi ni wajumbe wa vikao vya CCM kwenye Matawi na Kata, mtusaidie kupata wagombea bora, ikiwa mnaona kuna watu wanawazidi nguvu na kupendekeza wagombea wasio na sifa kwa maslahi yao, leteni taarifa haraka kusaidia Chama.
Kwa akili yako ndogo huwezi kumuelewa dk BashiruBinafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa
Kwa akili yako ndogo huwezi kumuelewa dk Bashiru
Mwaka 2015 Zanzibar kulikua na tume huru,lakini cafu hawakupata walichokitaka licha yao wenyewe kuwemo kwenye hiyo tume
Kenya kuna tume inaitwa huru,mpaka leo wapinzani hawajachukua nchi
Elimu ya Tanzania ni bora sana, ona Dr aka PHD holder and the former lecture from UDSM anavyomwaga point za maana. Huu ni mfano wa wasomi wetu walivyo bora kabisa, Hongera Dr Bashiru kwa kuitendea haki PHD yako..
Waungane akina nani bwashee?!hakuna kitu kinaitwa too late - Wana Sera mbadala - huu sasa ni wakati muafaka haswa wa kuibana Serikali kwenye jambo hili, cha msingi unganeni pamoja na muwe na sauti moja.
Sauti ya wengi ina nguvu na hata mwenyezi Mungu ataisikia.