Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

Mkuu sawa kabisa,kwa Mujibu wa Katiba,Je Kwa Mujibu wako mtazamo wako,
Ndio maana pamoja na kuwa na Taratibu na Kanuni Bado waangalizi huja kuangalia,ndo maana nakuuliza Tena Kwa Mujibu wa Mtazamo wako Unaonaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hali ya kukosa umoja wa kitaifa inafanya liccm lizidi kukanyaga katiba
Viongozi wa vyama vingi wanazo ma
Mkuu sawa kabisa,kwa Mujibu wa Katiba,Je Kwa Mujibu wako mtazamo wako,
Ndio maana pamoja na kuwa na Taratibu na Kanuni Bado waangalizi huja kuangalia,ndo maana nakuuliza Tena Kwa Mujibu wa Mtazamo wako Unaonaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
li nyingi sana zinazowapunguzia uwezo wao wa ku risk na kujitoa. Wakiombwa risit na taarifa za mwenendo wa biashara zao utawakuta na kasoro kibao, hii ndio inayowaondolea ujasiri wa kusimamia haki za wapiga kura wao, badala yake wanajificha kwenye kichaka cha ukosefu wa tume huru ya uchaguzi ili kuficha udhaifu wao. Kwani aina hii ya tume ilitumika kwenye chaguzi za vyama vingi za mwaka 1995, 2000, 2005, 2010, 2015 na ndiyo itakayotumika pia 2020 lakini wimbo wa wapinzani wetu ni uleule wa ukosefu wa tume huru hadi leo, huu ni uhuni wa hali ya juu. Wanawatumia wananchi kama mitaji yao kwa kisingizio cha ukosefu wa tume huru.

Ukweli ni kwamba tume hii iko safi na halali kabisa kwa mujibu wa katiba yetu, usiwadanganye wananchi kwa siasa nyepesi kabisa hizo. Mchakato ule wa kubadilisha katiba uliokwama haukukwamishwa na kipengele cha muundo wa tume ya uchaguzi, bali ulikwambishwa na UKAWA kutaka serikali tatu kuwafurahisha CUF.
 
Mkuu sawa kabisa,kwa Mujibu wa Katiba,Je Kwa Mujibu wako mtazamo wako,
Ndio maana pamoja na kuwa na Taratibu na Kanuni Bado waangalizi huja kuangalia,ndo maana nakuuliza Tena Kwa Mujibu wa Mtazamo wako Unaonaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tume ina mushikeli lakini imewekwa vile ilivyo na katiba. Hapa tuwalaumu UKAWA waliotatiza mchakato mabadiliko ya katiba kwa kung'ang'ania lazima serikali 3 agenda ambayo iliingizwa na CUF kwa maslahi yao. Hivyo tukakosa mwana na maji ya moto, bara na pwani.

UKAWA walishindwa kujiongeza kwa heri kenda shika kuliko kumi nenda uje
 
Kubadilisha sio tatizo,tatizo udharura
Tatizo mmekaririshwa tu. Unajua hii katiba tulionayo, imefanyiwa amendment zaidi ya mara 4? Je hizo amendment zote ilipigiwa kura ya maoni?
Acheni upoyoyo katiba inabadilishwa kwa njia nyingi, acheni kumsikiliza Polepole amekuwa chizi baada ya kushiba. Kipindi anatembea kwa mguu ndio alikuwa na akili.
Katiba inadalishwa kutoka na mahitaji ya wakati, yawe ya kipindi kifupi, cha Kati na cha muda mrefu.
Hitaji letu sasa ni Tume huru ya uchaguzi, inatakiwa upelekwe mswaada bungeni kwa ajli ya kuunda tume huru.
Sasa iatundwaje, utaratibu wake, wajumbe wake na kazi zake hizo zitajadiliwa bungeni na kupitishwa kuwa sheria.
Hapo ndio utakapoingizwa kwenye katiba.
Sasa meambukizwa ujinga, na kujifanya mmesoma kumbe mafi ya umbwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vigumu sana na fujo kwa wapinzani kudai tume huru ya uchaguzi wakati uundwaji wa tume ya uchaguzi na kazi zake vyote vipo kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa.

Ni makosa kuunda tume ya uchaguzi iliyo kinyume na vile Katiba inavyoagiza. Miaka 4 sasa baada ya uchaguzi wapinzani walikuwa kimya kwa visingizio wanavyovijua wao bila kujadili tatizo mama la chaguzi zetu ambalo ni katiba.

Dakika za lala salama kuelekea uchaguzi mwingine ndiyo wanakurupuka na kumdai Waziri Mkuu tume huru ya Uchaguzi. Ndiyo maana na Waziri Mkuu hakupata tabu ya kumjibu Mbowe kuwa katiba iliyopo ni kwa mujibu wa Katiba yetu.

Tunaomba wapinzani msitafute mchawi kaeni kimya kuhusu tume huru.
Kwani tume iliyompatia na kumtangza mbowe kuwa Mbunge ni tume ipi na kwanini anakuwa na hofu na tume ya uchaguzi. Kwa utafiti Wangu niliouona tokea mwaka 2005 Mbowe akiwa Mwenyekiti na Mgombea wa Chadema kwa nafasi ya Uraisi nimegundua kitu kimoja kwenye Siasa za Chadema. Wakikosa Agenda wamekuwa wepesi wa kutengeneza story/Agenda watakayoitumia kwenye kujinadi kwingi kukiwa ni aina ya Siasa ya kutafuta Huruma kwa Wananchi na wapiga kura.
Chadema wameona hawana ajenda ya kuwauza kwa wapiga kura kutokana na kila kitu ambacho kilikuwa ni sehemu ya Kampeni zao tokea Chadema itake over kuwa Chama cha upinzani chenye upinzani kwa CCM Malalamiko yao yote yameshighulikia.
Mtihani walionao watawezeje kuwaaminisha Wapiga kura kuwa wao ni bora kuliko CCM/Chama tawala.
Hofu kubwa imeongezeka baada ya upepo wa Kisulisuli wa Zanzibar kuwasomba na kuwatupa Jangwani.
Ushauri kwa hawa Watu ni kuunga jitihada za Rais nao wawaeleze Wananchi kuwa tukiwa Bungeni tutasaidia JPM kuongeza utekelezaji za Miradi mikubwa ya kimkakati.
Mambo ya kutwa kufanya Siasa za kutafuta Huruma kwa wapiga kura ni zilipendwa.
 
Nakupa kongole mkuu, bila kujali nani yuko Ikulu taifa linahitaji barabara na madaraja, reli ya uhakika, meli, ndege, umeme mwingi, viwanda na udhibiti wa rasilimali zetu. Vitu hivi vyote JPM ndivyo ameanza nazo bila kujali sauti zile za huyoo, huyoo, mchinje, mchinje, huyoo huyoo,..... Lazima tukubali kuwa zile sababu zilizowafanya wakoloni watutawale ile miaka ya 1880s bado wangali nazo hadi leo, hivyo kwavyovyote vile lazima ziko mbinu mabeberu wanazozitumia kuendelea kutunyonya hata baada ya kujitawala, na huenda miongoni mwetu tunatumika kuwasaidia kuendelea kutunyonya. Haiingii akilini kuwa yuko mtu anabeza kujenga reli ya kisasa, kujenga barabara, kujenga mtambo mkubwa wa umeme, kujenga viwanda, kuwa na ndege za kwetu, kumiliki rasilimali zetu kikamilifu, kununua meli zetu, nk. Vitu kama hivyo hakuna taifa litakubali sisi tuwe na vitu kama hivi.

Ni kweli kwamba katiba yetu inaweza kuwa na mapungufu ya hapa na pale lakini hata Marekani wako wengi wanaoilalamikia katiba yao na namna mambo yanavyoendeshwa lakini hiyo haiwafanyi waisaliti nchi yao. kwao hayo ni mambo madogo sana kuliko uzalendo wao. Hata Uingereza imejitoea EU kuonyesha hata katiba ya EU ina kasoro.
 
Waliojaribu kuusongelea uwenyekiti walijuta kumfahamu.
Bado kuna option nyingine, unda chama chako uwe "Pioneer" na kama huwezi na hilo basi kaa kimya, otherwise, utaonekana si lolote si chochote ila mnafiki tu.
 
HATA Mzee Nyerere alitumia TANU kuwaunganisha watanzania kudai uhuru, bila TANU hata yeye asingemudu kudai huru.
 
Hawa jamaa zetu ni kiboko thana, tangu mwaka 1995, 2000, 2005, 2015 na sasa 2020 wimbo ni huohuo tu wa tume sio huru ndio maana hatuendi Ikulu, lakini tume hiyohiyo isiyo huru imewaingiza wao bugeni na kuwapatia ruzuku. Wamewageuza watanzania wanaosukumuma magari yao mitaji yao binafsi, sijawahi kuona japo kisima kimoja cha maji kijijini kimechimbwa kwa kutumia ruzuku za vyama hivi, it is unfair

Jambo la msingi ni viongozi kurudi kwa wananchi na kuwaeleza wapi wanakwama ili wananchi wenyewe wapendekeze nini cha kufanya kwa njia zinazokubalika kwa wote. Ona, Maalim Seif ni kiongozi wa CUF tangu 1992 hana njia nyingine na wala hataki kupisha wengine, Mbatia hivyohivyo, Rungwe hivyohivyo, Dovutwa hivyohivyo.

Mfano, anayoyafanya Mh. Zitto au Lissu huko nje sijui kama yana baraka za wanachama wake, au ni wao tu kama wanavyoana inafaa? doubt everything
 
Mbowe ameamua kudai tume huru, na wewe unaweza kudai katiba mpya on your own.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tume ya UchaguziMasharti ya kazi ya Wabunge Sheria ya 1984 Na.15 ib.13Sheria ya 2000Na.3 ib.1474.-(1)
Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa na Rais:-

(a)Jaji wa Mahakama Kuu au Jaji wa Mahakama ya Rufani, ambaye atakuwa mwenyekiti;
(b)Makamu Mwenyekiti ambaye atakuwa mtu anayeshika, aliyewahi kushika au anayestahili kuteuliwa kushika madaraka ya Jaji wa Mahakama Kuu au Jaji wa Mahakama ya Rufani;
(c)wajumbe wengine watakaotajwa na sheria iliyotungwa na Bunge.

(2) Rais atamteua Makamu wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi kwa kufuata kanuni kwamba endapo Mwenyekiti ni mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu anayetoka sehemu ya pili ya Muungano.
(3) Watu wafuatao hawataweza kuteuliwa kuwa wajumbe wa Tume ya Uchaguzi yaani-(a)Waziri au Naibu Waziri;(b)mtu mwenye madaraka ya aina yoyote iliyotajwa mahsusi na sheria iliyotunga na Bunge kwamba ni mwiko kwa mtu mwenye madaraka hayo kuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi;(c)Mbunge, Diwani au mtu mwingine mwenye madaraka ya aina yaliyotajwa na sheria iliyotungwa na Bunge kwa mujibu wa masharti ya aya ya (g) ya ibara ndogo ya (2) ya ibara ya 67 ya Katiba hii.(d)Kiongozi wa chama chochote cha siasa.
(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi atakoma kuwa Mjumbe litokeapo lolote katika ya mambo yafuatayo-(a)Ukimalizika muda wa miaka mitano tangu alipoteuliwa; au(b)ikiwa litatokea jambo lolote ambalo, kama asingekuwa Mjumbe wa Tume, lingemfanya asiweze kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi.
(5) Rais aweza tu kumwondoa katika madaraka Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake, ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote, au kwa sababu ya tabia mbaya au kupoteza sifa za kuwa mjumbe.
(6) Majukumu ya Tume ya Uchaguzi yatakuwa ni-(a)kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano;(b)kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi wa Rais na Wabunge; (c)kuchunguza mipaka na kuigawa Jamhuri ya Muungano katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya uchaguzi wa Wabunge;(d)kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura na uendeshaji wa uchaguzi wa madiwani;(e)kutekeleza majukumu mengine yoyote kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa na Bunge.
(7) Kwa madhumuni ya utekelezaji bora wa majukumu yake yaliyoainishwa katika ibara hii, Tume ya Uchaguzi itakuwa ni idara huru inayojitegemea, itafanya maamuzi yake rasmi kuhusu utekelezaji wa majukumu yake kwa vikao, na mtendaji wake mkuu atakuwa ni Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye atateuliwa na kufanya kazi kwa mujibu wa masharti ya sheria iliyotungwa na Bunge.
(8) Bunge laweza kutunga sheria kwa ajili ya kuweka masharti ya kuweka utaratibu wa kusimamia uchaguzi wa Wabunge wanaowakilisha majimbo ya uchaguzi.
(9) Tume ya Uchaguzi yaweza kutekeleza shughuli zake bila ya kujali kwamba kuna nafasi miongoni mwa viti vya wajumbe au kwamba Mjumbe mmojawapo hayupo, lakini kila uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ni lazima uungwe mkono na wajumbe walio wengi kati ya Wajumbe wote wa Tume ya Uchaguzi.
(10) Bunge laweza kutunga sheria kwa ajili ya kuweka masharti ya kuweka utaratibu wa kuwateua Wajumbe wa kusimamia uchaguzi wa Wabunge wanaowakilisha majimbo ya uchaguzi na, bila ya kuathiri masharti ya Sheria kama hiyo au maagizo ya Tume ya Uchaguzi, madaraka ya Tume ya Uchaguzi ya kusimamia uchaguzi yaweza kutekelezwa na wajumbe hao.
(11) Katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii, Tume ya Uchaguzi haitalazimika kufuata amri au maagizo ya mtu yeyote au idara yoyote ya Serikali, au maoni ya chama chochote cha siasa.
(12) Hakuna mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza jambo lolote lililotendwa na Tume ya Uchaguzi katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.
(13) Katika utekelezaji wa madaraka yake kwa mujibu wa Katiba hii, Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano itashauriana mara kwa mara na Tume ya Uchaguzi ya Tanzania Zanzibar.

(14) Itakuwa ni marufuku kwa watu wanaohusika na uchaguzi kujiunga na chama chochote cha siasa, isipokuwa tu kwamba kila mmoja wao atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
15) Kwa madhumuni ya ibara ndogo ya (14) watu wanaohusika na uchaguzi ni-(a)Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi,(b)Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi,(c)Wajumbe wote wa Tume ya Uchaguzi,(d)Mkurugenzi wa Uchaguzi pamoja na watumishi wote wa Tume ya Uchaguzi,(e)Wasimamizi wote wa Uchaguzi katika miji na wilaya

Jamani tuheshimuni katiba bila shuruti
 
Ajivue uwenyekiti basi kama hawezi kuwaunganisha wafuasi wake kudai mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusika na uundwaji wa tume huru. Sio rahisi mtu mmoja kudai katiba nje ya chama kilichosajiliwa kisheria

Anzisha chama chako muwe wengi ili mdai hiyo katiba.
 
KWANI hiki kilichopo hakihitaji kwenda Ikulu? Ruzuku inatutosha? maana kwa tume hii msidanganye watu kwamba mtakwenda Ikulu.

Nchi imekwishakombolewa 1961 hivyo Tutumie dialogue zaidi kuliko confrontation ili kupata desired results juu ya namna ya kuwaletea maendeleo watanzania . Sasa watu wenye sifa za kuandaa dialogue siwaoni upande wa upinzani, Upinzani kuna watu wenye jazba, hasira, wapenda njia za mkato, wanaokejeli kila kitu, na wapenda mali
 
Huna hoja ni bora ukakaa kimya, hiyo kudaiwa tume huru na katiba mpya kumetumika njia zote, tena asilimia kubwa ni za kiungwana lakini hazijafanikiwa kwakuwa walioko madarakani wanajua fika utaratibu ukiwa mzuri ndio kifo chao. Ni jazba zipi unaongea zilizo upinzani ambazo ccm hazipo kuanzia mwenyekiti wake? Umewahi kusikia Magufuli akiongea? Mfano mzuri na mrahisi ni juzi mafuriko ya Lindi? Ulisikia bungeni michango ya wabunge wa ccm kuhusu kuuwawa kwa Zito? Au ni mijadala ipi ambayo ww huwa unaona busara za ccm, na huo uwezo wao wa kujenga hoja ambao huko upinzani haupo?
 
Tume ya UchaguziMasharti ya kazi ya Wabunge Sheria ya 1984 Na.15 ib.13Sheria ya 2000Na.3 ib.1474.-(1)
Kutakuwa na Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano ambayo itakuwa na wajumbe wafuatao watakaoteuliwa na Rais:-

(a)Jaji wa Mahakama Kuu au Jaji wa Mahakama ya Rufani, ambaye atakuwa mwenyekiti;
(b)Makamu Mwenyekiti ambaye atakuwa mtu anayeshika, aliyewahi kushika au anayestahili kuteuliwa kushika madaraka ya Jaji wa Mahakama Kuu au Jaji wa Mahakama ya Rufani;
(c)wajumbe wengine watakaotajwa na sheria iliyotungwa na Bunge.

(2) Rais atamteua Makamu wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi kwa kufuata kanuni kwamba endapo Mwenyekiti ni mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu anayetoka sehemu ya pili ya Muungano.
(3) Watu wafuatao hawataweza kuteuliwa kuwa wajumbe wa Tume ya Uchaguzi yaani-(a)Waziri au Naibu Waziri;(b)mtu mwenye madaraka ya aina yoyote iliyotajwa mahsusi na sheria iliyotunga na Bunge kwamba ni mwiko kwa mtu mwenye madaraka hayo kuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi;(c)Mbunge, Diwani au mtu mwingine mwenye madaraka ya aina yaliyotajwa na sheria iliyotungwa na Bunge kwa mujibu wa masharti ya aya ya (g) ya ibara ndogo ya (2) ya ibara ya 67 ya Katiba hii.(d)Kiongozi wa chama chochote cha siasa.
(4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi atakoma kuwa Mjumbe litokeapo lolote katika ya mambo yafuatayo-(a)Ukimalizika muda wa miaka mitano tangu alipoteuliwa; au(b)ikiwa litatokea jambo lolote ambalo, kama asingekuwa Mjumbe wa Tume, lingemfanya asiweze kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi.
(5) Rais aweza tu kumwondoa katika madaraka Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake, ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote, au kwa sababu ya tabia mbaya au kupoteza sifa za kuwa mjumbe.
(6) Majukumu ya Tume ya Uchaguzi yatakuwa ni-(a)kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya Muungano;(b)kusimamia na kuratibu uendeshaji wa uchaguzi wa Rais na Wabunge; (c)kuchunguza mipaka na kuigawa Jamhuri ya Muungano katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya uchaguzi wa Wabunge;(d)kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura na uendeshaji wa uchaguzi wa madiwani;(e)kutekeleza majukumu mengine yoyote kwa mujibu wa Sheria iliyotungwa na Bunge.
(7) Kwa madhumuni ya utekelezaji bora wa majukumu yake yaliyoainishwa katika ibara hii, Tume ya Uchaguzi itakuwa ni idara huru inayojitegemea, itafanya maamuzi yake rasmi kuhusu utekelezaji wa majukumu yake kwa vikao, na mtendaji wake mkuu atakuwa ni Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye atateuliwa na kufanya kazi kwa mujibu wa masharti ya sheria iliyotungwa na Bunge.
(8) Bunge laweza kutunga sheria kwa ajili ya kuweka masharti ya kuweka utaratibu wa kusimamia uchaguzi wa Wabunge wanaowakilisha majimbo ya uchaguzi.
(9) Tume ya Uchaguzi yaweza kutekeleza shughuli zake bila ya kujali kwamba kuna nafasi miongoni mwa viti vya wajumbe au kwamba Mjumbe mmojawapo hayupo, lakini kila uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ni lazima uungwe mkono na wajumbe walio wengi kati ya Wajumbe wote wa Tume ya Uchaguzi.
(10) Bunge laweza kutunga sheria kwa ajili ya kuweka masharti ya kuweka utaratibu wa kuwateua Wajumbe wa kusimamia uchaguzi wa Wabunge wanaowakilisha majimbo ya uchaguzi na, bila ya kuathiri masharti ya Sheria kama hiyo au maagizo ya Tume ya Uchaguzi, madaraka ya Tume ya Uchaguzi ya kusimamia uchaguzi yaweza kutekelezwa na wajumbe hao.
(11) Katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii, Tume ya Uchaguzi haitalazimika kufuata amri au maagizo ya mtu yeyote au idara yoyote ya Serikali, au maoni ya chama chochote cha siasa.
(12) Hakuna mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza jambo lolote lililotendwa na Tume ya Uchaguzi katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.
(13) Katika utekelezaji wa madaraka yake kwa mujibu wa Katiba hii, Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano itashauriana mara kwa mara na Tume ya Uchaguzi ya Tanzania Zanzibar.

(14) Itakuwa ni marufuku kwa watu wanaohusika na uchaguzi kujiunga na chama chochote cha siasa, isipokuwa tu kwamba kila mmoja wao atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
15) Kwa madhumuni ya ibara ndogo ya (14) watu wanaohusika na uchaguzi ni-(a)Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi,(b)Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi,(c)Wajumbe wote wa Tume ya Uchaguzi,(d)Mkurugenzi wa Uchaguzi pamoja na watumishi wote wa Tume ya Uchaguzi,(e)Wasimamizi wote wa Uchaguzi katika miji na wilaya

Jamani tuheshimuni katiba bila shuruti
Tume inayoteuliwa na mtu na kula kiapo kwake lazima itii matakwa ya aliyeiteua. Nimekuteua Mimi, nimekuapisha mimi, ninakulipa mshahara mimi, nimekupa gari mimi halafu ninakusikia unamtangaza mpinzani ameshinda!
 
Huna hoja ni bora ukakaa kimya, hiyo kudaiwa tume huru na katiba mpya kumetumika njia zote, tena asilimia kubwa ni za kiungwana lakini hazijafanikiwa kwakuwa walioko madarakani wanajua fika utaratibu ukiwa mzuri ndio kifo chao. Ni jazba zipi unaongea zilizo upinzani ambazo ccm hazipo kuanzia mwenyekiti wake? Umewahi kusikia Magufuli akiongea? Mfano mzuri na mrahisi ni juzi mafuriko ya Lindi? Ulisikia bungeni michango ya wabunge wa ccm kuhusu kuuwawa kwa Zito? Au ni mijadala ipi ambayo ww huwa unaona busara za ccm, na huo uwezo wao wa kujenga hoja ambao huko upinzani haupo?
Nyenzo kuu ya kuingia Ikulu ni tume huru kwelikweli mambo mengine yote ni rahisi kuyabadilisha ukishafika Ikulu, wakati ule wa mchakato wa kuandika katiba mpya wapinzani walitakiwa kuona kipengele cha tume kimekaa vizuri kuliko kipengele kingine chochote. Lakini wapinzani waling'ang'ania serikali 3 na muungano wa mkataba hadi mchakato ukakwama kabisa. Hii yote ni kuonyesha kuwa upinzani ama hakuna weledi wa kutosha au kuna mamluki wengi saaana wanaowazuga wananchi.
 
Tume inayoteuliwa na mtu na kula kiapo kwake lazima itii matakwa ya aliyeiteua. Nimekuteua Mimi, nimekuapisha mimi, ninakulipa mshahara mimi, nimekupa gari mimi halafu ninakusikia unamtangaza mpinzani ameshinda!
Mh Mbowe na wenzake lazima wafahamu hilo kuwa mchawi wao sio wanatume bali vifungu vya katiba, hata yeye Mbowe Ikiingia Ikulu kwa katiba hii atafurahi sana na hatatamani kuibadilisha hasa kwenye kipengele cha tume na mamlaka ya Rais
 
Nyenzo kuu ya kuingia Ikulu ni tume huru kwelikweli mambo mengine yote ni rahisi kuyabadilisha ukishafika Ikulu, wakati ule wa mchakato wa kuandika katiba mpya wapinzani walitakiwa kuona kipengele cha tume kimekaa vizuri kuliko kipengele kingine chochote. Lakini wapinzani waling'ang'ania serikali 3 na muungano wa mkataba hadi mchakato ukakwama kabisa. Hii yote ni kuonyesha kuwa upinzani ama hakuna weledi wa kutosha au kuna mamluki wengi saaana wanaowazuga wananchi.

Ni hivi, usitake kutupia lawama kusiko stahili, wananchi ndio walitaka tume huru kwenye maoni yao, na wala wanaccm waliobaki bungeni hawakuwa na uhalali wowote wa kubadilisha maoni ya wananchi.

Sasa unaposema wapinzani ndio waliosababisha huo mchakato kukwama kwa ajili ya kulazimisha serikali tatu, sijui hata unaongea nini. Hilo bunge la katiba zaidi ya 2/3 ilikuwa ni wanaccm, hata kama hao wapinzani wangebaki, una uhakika gani kuwa hilo suala wanaccm wangelikubali?

Hivi unadhani hatukuona jinsi kanuni zilivyokuwa zinapindwa kila bunge lile lilivyokuwa linaendelea, ili kukidhi matakwa ya ccm? Kama kuna watu walipiga kura wakiwa nje ya bunge na nchi ili kuhalalisha katiba chafu, kipi kinachokufanya uamini kuwa tume huru ya uchaguzi ingepitishwa ndani ya bunge lile?
 
Back
Top Bottom