Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?

Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
Wasukuma ndiyo kabila kubwa TZ, sikuzote Winners wanajiassociate na wale ambao wanaweza kuwafaidisha kwa namna moja ama nyingine! Ulitaka akawe Chief wa Wamawia ambao kuna waTZ wengine hata hawajui kuna hilo kabila?
 
Lowassa alifanywa chifu wa Wanyamwezi na mchongo huo ulichongwa ba Prof Juma Kapuya

Ma Sheikh wa Kijijini kwa Jakaya wakakusanywa na Hamis Mgeja wakaenda Dodoma kumshinikiza Ngoyai kugombea Urais 2015

Vurugu za namna hii naona zinaanza kurudi

Huku watu wanatambia usukuma wengine wanatambia Ugogo
Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?

Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
 
Kama kweli amesema
"Analamba viatu"
 
Kama WASUKUMA halisi wamewakataa SUKUMA gang, basi kilichobaki sasa tuitoe hiyo SU kutoka kwenye SUKUMA, na waitwe K... gang
 
Sukuma gang siyo ukabila kikundi kinachoundwa. Na watu wenye wivu. Chuki. Husda rohomvaya, wauwaji, watesaji, na Tabia zote ta yule muovu
 
Sukuma gang siyo ukabila kikundi kinachoundwa. Na watu wenye wivu. Chuki. Husda rohomvaya, wauwaji, watesaji, na Tabia zote ta yule muovu
Ni kweli, ni bahati mbaya tu kwamaba kinaitwa Sukuma Gang , maana hakishabihiani na wasukuma bali wafuasi wa yule mwendazake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…