Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?

Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
Kwasababu ndilo kabila lenye wajinga wengi kuwadanganya ni rahisi kabisa
 
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.

Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.

Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.

Source: Star tv
Diallo anazeeka vibaya kwanza hana historia nzuri kwenye utawala wowote hadi wafanyakazi wake wa SAHARA MEDIA wameishi kwa kulialia mishahara hatoi
 
Dialo alipokuwa WAZIRI WA MALI SILI Alipiga sana ssa hana cha kupiga na karedio kake kanapumulia machine
 
Wasukuma Org ni Mwanza shinyanga maana yake Shinyaga kwa kisukuma na kwa kiswahili mavi ya ng'ombe kwa hiyo ni eneo ambalo wafugaji wa kisukuma walihamia!
Shinyanga ni jina ambalo lilitokana na mti,mti ambao jina lake huitwa inyanga,acha kupotosha umma wa Watanzania
 
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.

Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.

Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.

Source: Star tv
Diallo anatapatapa. Alipe tu kodi alizokadiriwa. Asitafute huruma na usaliti kwa wenzake
 
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.

Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.

Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.

Source: Star tv
Opportunists
 
Back
Top Bottom