Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.

Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.

Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.

Source: Star tv

Inafahamika sukuma genge si genge la wasukuma bali la itikadi.

Genge hili linao wasukuma na wasiokuwamo.

Ieleweke kwenye genge hili kiroboto na wenzake wengi wasiokuwa hata wasukuma kwa kabila nao wamo.
 
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.

Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.

Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.

Source: Star tv

Kwa hiyo Samia amemtuma Diallo atangaze yeye ni kiongozi wa wasukuma?
 
Unajua kuna vitu vinakera sana! Embu tumheshimu RAIS Jaman! Mi binafsi naona rais anahujumiwa sana na wateule wa mwenda zake! Na wahujumu wake wote wana manafasi makubwa makubwa ya maamuzi kwenye nchi hii! Ingekuwa ni amri yangu ningewawekea sumu wote
 
Hii siasa sasa wenye hekima na busara waingilie kati. Huu uchonganishi na migawanyo ya hivi haifai kabisa...Si utamaduni wetu wala si desturi yetu. Watanzania hatuna ukabila wala ukanda...Huyu baba aache hiyo tabia yake isiyo na tija
 
Tanzania yetu ni moja na Rais we ni HE Samia Suluhu Hassan...Tumkosoe anapokosea lakini tusimyumbishe akashindwa kusimama imara
 
Uzuri hawatudanganyi kitu kwa sasa. Yeyote anayejitokeza tunajua anatetea tumbo lake. Haisaidii kwa sasa.
 
S
Utakufa nacho kijiba cha roho Magufuli kafa kamuacha Lissu mliyetaka kumwua wewe na yeye...

Unalo limekuganda.
Siku ukigundua aliyepanga njama na kuwalipa wauaji wa Lissu ni Mbowe ndio utajua aliyesema rafiki yako ndiye adui
 
Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?

Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
Anajua sukumagang ni kabila lisilo na kinyongo na mtu,wao ni nduhu tabu.
Ndo mtaji mkubwa wa Kura kuliko kabila lolote.
 
Nchi hii imetengeneza wachumia tumbo wengi sana, wazandiki na wenye kujikombakomba
 
Swali zuri hilo!!!
Kwa hiyo mama ni kiongozi wa Wasukuma peke yao? Chief wa Wahehe sijui ni Nani?
Kuna Boyz 2 men,Kuna wahuni,Kuna Gang of wastaafu,Kuna CCM Jesuits,Kuna wateule,Kuna CCM magamba ,Kuna CCM mkono wa Baunsa na mengine mengii
 
Back
Top Bottom