Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Ina maana hata Mwendazake hakuwa Msukuma?Hapana huyu ni mzinza wa maeneo ya Chato.Infact Wasukuma original wapo Mwanza pekee yake wengine wote ni Wasukuma fake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana hata Mwendazake hakuwa Msukuma?Hapana huyu ni mzinza wa maeneo ya Chato.Infact Wasukuma original wapo Mwanza pekee yake wengine wote ni Wasukuma fake
Huo u doctor wake sio fake kweli,Si mbali alikuwa Hana hata Diploma.Huyu diallo...
Kadri anavyo zeeka ndo akili zinakua chache.
Mwanamke na uchifu, wapi na wapi!!
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.
Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.
Source: Star tv
Wapo mbona wengi tu Unawafahamu kina MINZA, NG'WASHI, NKAMBA, NGOLO.Labda chief wa wazaramo. Ila wasukuma hawajawahi kuwa na mwanamke chief
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao akitambulika kama Chifu Hangaya.
Sasa hao Sukuma gang wanatokea wapi ikiwa hapa Mwanza hawatambuliki? amehoji Mwenyekiti wa CCM Dr Anthony Diallo.
Source: Star tv
Siku ukigundua aliyepanga njama na kuwalipa wauaji wa Lissu ni Mbowe ndio utajua aliyesema rafiki yako ndiye aduiUtakufa nacho kijiba cha roho Magufuli kafa kamuacha Lissu mliyetaka kumwua wewe na yeye...
Unalo limekuganda.
Anajua sukumagang ni kabila lisilo na kinyongo na mtu,wao ni nduhu tabu.Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?
Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
Nyie Wanawake kwa kuoneana wivu?Huo uchief una faida gani kwanza!?
Wewe lufindo achana kabisa na Kabila langu.nduhu tabu
Ndio mana mvua hazinyeshi..obhonelahe ngoko nhema ya helaga gete goligongo..ango tuja ejeneji.Chifu tangu lini akawa mama? Mambo mengine ni ushabiki wa kisiasa tu
Wapi mvua hazinyeshi?Ndio mana mvua hazinyeshi..obhonelahe ngoko nhema ya helaga gete goligongo..ango tuja ejeneji.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu uko humu? Chief ina gender kweli mkuu? Yule dada ofisini kwenu idara ya uhasibu mbona mnamuita chief accountant?Chifu tangu lini akawa mama? Mambo mengine ni ushabiki wa kisiasa tu
Kuna Boyz 2 men,Kuna wahuni,Kuna Gang of wastaafu,Kuna CCM Jesuits,Kuna wateule,Kuna CCM magamba ,Kuna CCM mkono wa Baunsa na mengine mengiiSwali zuri hilo!!!
Kwa hiyo mama ni kiongozi wa Wasukuma peke yao? Chief wa Wahehe sijui ni Nani?