Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

Watanzania watajutia daima makosa makubwa waliyoruhusu yakatokea 2015.

Kwa maono yangu naona hali ikiwa shwari tena baada ya miaka 7 hivi mbele

All in all the oldman was uncivilized and a distater.
 
Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?

Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
hii ni kutokana na ukabila aliouacha Jiwe.
 
Diallo ilinunua vyeti vya msenegal.
Hajawahi kuheshimika Mwanza.
Hatambuliwi usukumani.
Aliwekwa ni watu wa Dar.
Yeye ndio Sukuma gang.
Tapeli.
 
Diallo ameanza vibweka!Wasukuma wa Ng'wanza kiongozi wao anatokea Pemba aka Tokopembamaswaa?
 
Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?

Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
Amesaka fursa ya kuungwa mkono kisiasa.Si unawajua Bhasukuma?Ukiwasifu tu wanaanza kusema ..."yeeee...hiiii...ndoho taabhuu yaaayaaaa"...!
 
Huo u-Original wa wasukuma wa Mwanza unatokana na nini?

Kwa hiyo wilaya ya Geita ilipoondolewa mkoa wa Mwanza na wasukuma wake wakawa fake?
 
Siku zote usimwamini mwanasiasa, anaweza kuwa kitu chochote wakati wowote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…