Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Wastaafu wa level yake ndani ya CCM huwa wanatumika kwenye vikao vyao. (Makamu wa rais na Makatibu wakuu wa CCM)
Katibu wao ni Pius Msekwa.
Kuna wakati wanatoa ushauri unao fanyiwa kazi.
Kumfukuza ni kumuondolea hadhi za aina hiyo.
Hivi ndivyo nilivyoelewa
 
Alisema anajiuzur nafasi yake na siasa huo uanachama hata mkimunyang'anya mtu ambaye alishasema kastafu siasa mbona mnajisumbua. And why imekuwa mapema hivi? Na jina la mtu wanayemtaka limesha pendekezwa what's going on?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…