Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Mie nilishasema bila kuondoa mafisiem, kuendelea kwa Tanzania hakupo kabisaa.. watanganyika tatizo ni majuha, yaani hayaelewi chochote.. ilitakiwa tukomboe nchi yetu ya asili kwanza, theni hizo takataka za muungano ziongeleke kiutu uzima.. kwani nini bhanaa
 

Attachments

Ni kitu gani cha maana alichofanya huyu mtu mpka saivi aonekane kua ni shujaa?
Alikua sehemu ya serikali kipindi tupo ndani bila Internet

Yaani watu washindwane kwa masilahi yao then sisi tuchague upande

Acha wanyoshane kidogo
💯

Kwenye hili kwa kweli wapambane na hali zao.

Wengine wanaodhani ni michezo hakuna michezo hapo ni waroho wa madaraka wanawahiana.

Walichokifanya kwa hayati, kinasababisha wakae mguu sawa muda wote, wafu wazikane sisi tunywe bia.
 
Kama ni mkweli anayemaanisha atapolepolewa soon.

Kama ni maigizo atakamatwa kamatwa kiaina, mwishowe ataibukia kwa wakorofi wanyaturu/wakurya,, kupeleka upupu, akishaumwaga anasepa anawaacha wanajikuna bila dawa.
Kwa akili zenu CDM hawajajifunza? Hawaja-evolve? watarudia makosa? Oteni hivyo hivyo.

Mpelekeni ACT.
 

Naam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…