Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Naomba kuuliza .... mbona kila mwanachama wa ccm akiwa tu mkweli , muaminifu ,mkataa mauaji, mkemea kuteka na mwenye msimamo mfn
Polepole
Simbachanewe .
Gwajima .
Nchimbi .
Luhaga.
Prof Tibaijuka .
Nk
Wanaondolewa na kuonekana hawafai . Bali wale watetea mauaji ,wabadhilifu,wauaji nk.wao ndiyo wanaoneka wazuri katika serikali hii ya Samia ???
 
Huku ndiyo kutoana maini kwenyewe sasa,imesalia waanze kutoana mafuvu,kumbuka tayari hawanaga ubongo hawa!
 
Sasahivi tunaimba naye pambio za maisha ni milima eeh😹
Nadhani tatizo ni mfumo, haumpi mtu nafasi ya kutumia akili yake timamu kikamilifu.
Sasa mpaka utoke kwenye mfumo...??? Kwanini wkakati akiwa huko kwenye mfumo hakutumia akili yake kabadilisha mambo..?/ Hata ikiwezekana wamfukuze..???
 
Inammanisha waliobaki CCM wote ni Genge la Wahuni na Maharamia..
 
Sasa mpaka utoke kwenye mfumo...??? Kwanini wkakati akiwa huko kwenye mfumo hakutumia akili yake kabadilisha mambo..?/ Hata ikiwezekana wamfukuze..???
Labda aliogopa
Ila mimi naamini huyu mama ni mtu safi sana na smart kichwani

Japo amekuwa useless,
Na uspika wake wote, Mbeya jijini yaani katikati ya Jiji, tunaogelea kwenye vumbi utadhani tupo Saudia.
 
Maalim Seif akiwa Waziri Kiongozi chini ya rais wa Zanzibar Idris Abdul Wakil aliondolewa madarakani kwa njia kama hiyo, lakini Serikali ya Zanzibar iliendelea kumlipa maana ni haki yake.
Sidhani kama kutakuwa na mabadiliko kwa huyu mzee.
basi amewahi kucheza karata zake, angechelewa kidogo angekula za uso
 
Mwenyewe alijisemea anaachana na siasa+ utumishi wa umma..hiyo ya kumfukuza ni kama kumchafua tu..ok. TUNATAKA KATIBA MPYA, KATIBA MPYA JAMANI MBONA MNATUAHIDI HALAFU HAMTEKELEZI? KABLA 2030 WANANCHI TUNATAKA TUWE TUMESHAPATA KATIBA MPYA..
 
Watuambie kosa la Dr Nchimbi kama Makamu wa Rais lilikuwa ni nini? Kudai Katiba Mpya?
 
Mnakumbuka ya Kizungu kutekwa kisha kuteswa sana kisa kumtetea Nchimbi
Mnakumbuka Gazeti fulani lilifungiwa kisa kutoa taarifa nyeti
Mnakumbuka Makonda aliposema kuwa Nchimbi ni mchafu kama sisi tu
Mnakumbuka JK alimuita Nchimbi pale kwake
Unamfukuzaje uanachama mtu ambaye amejitoa kutokushiriki siasa maana yake mmemtoa mtu ambaye ameshajitoa yaani yuko mbele ya muda πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ila Nchimbi anakiburi huaga haendi kwenye hicho kikao cha maadili na hio ilitokea mwaka 2012
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…