Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Haya mambo yanavyoendelea huko Ccm na Serikalini imefikia kipindi nimeacha kufuatilia maana nimeona naweza pata ugonjwa wa moyo ni kisukari bila sababu... Haya majitu yanakera sana.
 
Ni wao Ccm wanaamua either hawakutaki kwenye chama au pia ukileta ujuaji wanaweza wasikutake hapa duniani.. Samia amefanya watu wote wenye mashavu makubwa niwachukie bila sababu ya msingi..
 
Wataamini tu siku moja. Tuliwaambia kwa sasa ccm ni genge la wahuni! Hawakuamini. Matokeo wameanza kuyaona.
Acha uhafidhina mambo yanabadiliaka, ule ubabe wa kizamani hauna nafasi tena. Hakuna nafasi isiyozibika na amini nakwambia na sub yake inaweza fanya maajabu. Uspecial mliompachika mzee wa watu umemghalimu haya ni mambo ya aibu diplomats, very senior officer unafukuzwa kwa utovu wa nidhamu.

CCM wamefanya kile kinachowatofautisha na vyama vingine na maamuzi magumu ndio yanaleta maendeleo. Huyu jamaa ndio mana mzee Magu alimpeleka nje. Tena haitoshi inatakiwa akiapishwa VP mwingine huyu alijiuzulu apelekwe detention kali yenye maxmum security. Kiongozi anapenda taharuki na hana huruma na kodi za watanzania.
 
Hapana. Amepimwa kwa mizania ya chama hafai! What else do you want? Katibu Mkuu amemalizia taarifa yake isiyozididi dakika 3; POKEENI TAARIFA HIYO! Not for discussion.

And you think watu hawata discuss kwa mtu ambae alifika position za juu? This is not 1960s

People want to know more, ussishie kusema mizania ya chama, no body give a *** about mizania, people want the actual facts
 
Mm nitaendelea kumlaumu mabeyo, aliona kama amefanya jambo sahihi ila katutumbukiza kwenye shimo lililo na Simba kwa ndani.,...ametukosea sana kwa kuruhuru utaratibu kufuatwa, Bora angeenda kinyume ila angetusaidia km nchi kuliko hivi alivyofanya...nadhani anashuhudia taifa letu likipitia mateso makali na kwa muda mrefu
 
Chura aka kizimkazi hata kabisa mtu wakuitetea tanganyika na watanganyika kwa ujumla. Na pia mtu mwenye kujitambua na msimamo kwa maslahi ya wananchi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Dr. Nchimbi ni mkongwe ndani ya chama, anajua ni makosa gani ukiyatenda utafukuzwa. Dr. Nchimbi alikuwa anajua siku nyingi kuwa lazima atafukuzwa, na alijua kuwa akifukuzwa atakwenda kuunga juhudi vyama vya upinzani, hata hotuba yake ile yenye ukakasi ililenga hilo. Ndiyo maana aliwaambia wananchi wadai katiba mpya itumike kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2030. Kwavyovyote vile kauli yake ya kuitaka katiba mpya itumike kwenye chaguzi zijazo haina tofauti na kauli za wapinzani; maana yake CCM ianguke ikibidi kwa kutumia Tume Huru ya Uchaguzi kwenye chaguzi zijazo. Amekikosea chama kwelikweli kwa kumbembeleza mwana kwa wimbo mbaya, sawa na kuimba "OOOh, oyo oyo oyo CCM shindwa, CCM shindwa CCM shindwa kwakutumia katiba mpya chaguzi zijazo kwa Tume Huru na Katiba mpya". Maana na yeye kama Polepole anajua CCM inashindaje kwa kutumia katiba hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…