Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
ghjjhfdertyuioJamaa alitaka tu Kutuokota. Asante Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ghjjhfdertyuioJamaa alitaka tu Kutuokota. Asante Mkuu.
Wakatekumeni hao. Wamisionari muda wowote wanaitwa RomaImekuaje wame kutana wote sehemu moja
Kigonsera palePoint of correction Mnyika Maua Seminary,Lisu kasoma Ilboru n Galanos,Nchimbi sijui aliposoma
Angekuwa na nia ya kuhama angehama mwaka 2015 pamoja na Lowasa.Sema wasimuhamishie Chadema
Viongozi wa dini hawapendi dhuluma ingawa katika dunia hii ya kidigitali usimwamini yoyote, binadamu ana bei...Ponda na Kitima hawapendi dhuluma.
Wazee wa CHETEZONchimbi .......Uru seminary
Mnyika..........Sengerema seminary
Lissu...........Dunghunyi seminary
Kitima.......Dunghunyi seminary
.makatibu wakuu - wote waseminari- Birds of same feathers....utamalizia
Kanisa katoliki lina siri nyingi sana na hujua mambo mengi sana kabla ya wengine kujua
Nchimbi,Lisu na Mnyika wote wakatoliki waliitwa mbele ya kanisa Katoliki na Padre wakaambiwa nyie watatu ni ndugu kabla hawajapata nyadhifa zao za sasa miezi minne nyuma huko hata hawatarajii kupata
Wataalamu wa kusoma codes oneni wenyewe .Hakina kitu kinatokea kwa bahati hupangwa
View: https://youtu.be/iZrtcwduhW4?si=7wKBx-Mun09Brdie
Ni kweli CCM wamecheza kama Ronaldo mapemaaaaWatu walishacheza kete mapema sana kikubwa Mama bado yuko pale juu hilo ndo lilikua la muhimu
uwe na busara inakuwaje useme K padri
Nchimbi kwa nafasi aliyopewa ni kwamba ataachia nafasi kwenye chama na baadae atakua mshika mikasi tu kuzindua miradi hadi 2030 kwahio hatakua tena na nguvu kwenye chama wala serikali.......wanaojua hio move wameielewa....katulizwa ila kiutu uzima huku anashangiliwa. , lile kundi la kujiita watoto wa mjini wanatulizwa kiainaNi kweli CCM wamecheza kama Ronaldo mapemaaaa