Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dkt. Charles Kitima

Dkt. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dkt. Charles Kitima

makatibu wakuu - wote waseminari- Birds of same feathers....utamalizia
 
Kanisa katoliki lina siri nyingi sana na hujua mambo mengi sana kabla ya wengine kujua

Nchimbi,Lisu na Mnyika wote wakatoliki waliitwa mbele ya kanisa Katoliki na Padre Kitima wakaambiwa nyie watatu ni ndugu kabla hawajapata nyadhifa zao za sasa miezi minne nyuma huko hata hawatarajii kupata

Wataalamu wa kusoma codes oneni wenyewe .Hakina kitu kinatokea kwa bahati hupangwa

View: https://youtu.be/iZrtcwduhW4?si=7wKBx-Mun09Brdie
 
Kanisa katoliki lina siri nyingi sana na hujua mambo mengi sana kabla ya wengine kujua

Nchimbi,Lisu na Mnyika wote wakatoliki waliitwa mbele ya kanisa Katoliki na Padre wakaambiwa nyie watatu ni ndugu kabla hawajapata nyadhifa zao za sasa miezi minne nyuma huko hata hawatarajii kupata

Wataalamu wa kusoma codes oneni wenyewe .Hakina kitu kinatokea kwa bahati hupangwa

View: https://youtu.be/iZrtcwduhW4?si=7wKBx-Mun09Brdie

Watu walishacheza kete mapema sana kikubwa Mama bado yuko pale juu hilo ndo lilikua la muhimu
 
Ni kweli CCM wamecheza kama Ronaldo mapemaaaa
Nchimbi kwa nafasi aliyopewa ni kwamba ataachia nafasi kwenye chama na baadae atakua mshika mikasi tu kuzindua miradi hadi 2030 kwahio hatakua tena na nguvu kwenye chama wala serikali.......wanaojua hio move wameielewa....katulizwa ila kiutu uzima huku anashangiliwa. , lile kundi la kujiita watoto wa mjini wanatulizwa kiaina
 
Back
Top Bottom