Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa kukaa meza moja na Dr. Kisheku Msukuma
Yeye mwenyewe alikiri kwa kinywa chake tumeporomoka kutoka uchumi wa kati kwenda chiniRais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Za kupewa bure huwa zina amsha fulaniYale yale ya Mzee wa msoga,alipokalibia kwenye uchaguzi 2010!kila Kona amebqnwa na wagalatia wenye PHD za kisomi,akaona isiwe tabu,game likapangwa na yeye akapewa moja ya heshima!!
Watu wenye PHD za kisomo,huwa hawazitangazi!ni wachache sana wanajua kwamba William Ruto ,Rais wa Kenya,ana PHD!lakini ni mala chache sana kuona akiitwa kwa cheo hicho
Mimi ni mtanzania, lakini mimi simo kwenye hiyo shahada kama anavyodai kuwa ni ya watanzania wote ingawaje nalipa tozo.Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25, kusaini na benki ya dunia mradi wenye thamani ya bililioni zaidi ya 900 wenye lengo la kuboresha elimu ya juu.
Rais Samia amemshukuru Dkt. Kikwete na baraza la seneti la chuo kikuu cha Dae es Salaam kwa kumpendekeza kupata tuzo hiyo na aliikubali kwa sababu siyo ya kwake pekee bali watanzania.
Rais Samia alisema alijaribu kutafuta shahada hilo lakini muda haukumpa nafasi
Aliyotaka kusoma ila muda ukamzuia na hii ya heshima ni vitu viwili tofauti, sasa inakuwaje aseme hii ndio ile aliyotaka kusomea?Rais Samia alisema alijaribu kutafuta shahada hilo lakini muda haukumpa nafasi
Hiyo PhD amepewa sirini hawakutaka zipigwe pichaRais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25, kusaini na benki ya dunia mradi wenye thamani ya bililioni zaidi ya 900 wenye lengo la kuboresha elimu ya juu.
Rais Samia amemshukuru Dkt. Kikwete na baraza la seneti la chuo kikuu cha Dae es Salaam kwa kumpendekeza kupata tuzo hiyo na aliikubali kwa sababu siyo ya kwake pekee bali watanzania.
Rais Samia alisema alijaribu kutafuta shahada hilo lakini muda haukumpa nafasi
Hii ndio kama ile ya Musukuma?Hongera sana kwake.
Hakika anastahiki.
Wenye wivu wataharisha damu.
Siyo baadaye , ni jioni tuUteuzi utafuata hapo baadae
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nadhani itakuwa Doctorate ya Mgao wa Maji na Umeme.
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25, kusaini na benki ya dunia mradi wenye thamani ya bililioni zaidi ya 900 wenye lengo la kuboresha elimu ya juu.
Rais Samia amemshukuru Dkt. Kikwete na baraza la seneti la chuo kikuu cha Dae es Salaam kwa kumpendekeza kupata tuzo hiyo na aliikubali kwa sababu siyo ya kwake pekee bali watanzania.
Rais Samia alisema alijaribu kutafuta shahada hilo lakini muda haukumpa nafasi
Hivi Musukuma naye ni dakta?Sioni kama ni ajabu, wala ubaya. Ukitafakari, kuna madokta wangapi, tena wengine udaktari hauna mchango wowote hata kwenye mtaa.
Mwigulu doctor, Musukuma docta, Dotto dokta, sasa hawa utawalinganisha na Samia? Kama ingekuwepo nyingine juu kidogo, Samia alistahili kupewa hiyo. Maana, hii ya sasa itamweka kwenye kundi moja na akina Musukuma na Mwigulu.
Japo kwa kweli kuna mengi bado ambayo yamekosekana kutoka kwa viongozi wetu:
1) bado hatujampata kiongozi mwenye dhamira safi ya kujenga demokrasia ya kweli, utawala wa haki na sheria.
2) bado hatujapata viongozi walionyoka kwa kauli na matendo, na wakweli wa nafsi.
3) bado hatujapata viongozi wanaoweza kuthamini uwezo wa watu na kuwapa majukumu ya kulisaidia taifa letu bila ya kuweka uchama kama ndiyo sifa kuu ya kwanza. Jambo hili limesababisha baadhi ya watu kuwa wanafiki na kuwa chawa wa watawala
4) bado hatujawapa viongozi wenye macho ya kumulika kuwatambua watu wenye uwezo wa kutoa mchamgo mkubwa kwa Taifa, ambao hawana habari na siasa za vyama. Viongozi wetu, uwezo wao wa kuona unaishia kwenye wigo za CCM.
Hongera Rais Samia, lakini heshima hiyo ingekuwa na nguvu sana na ya kukumbukwa kama ungefanya jambo tofauti, jambo ambalo watangulizi wako walishindwa, KATIBA NZURI MPYA.
Ningeshangaa Kikwete kutomtunuku Samia udoctor,Bado china kumpatia uprofessorπππ Kazi iendeleeRais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25, kusaini na benki ya dunia mradi wenye thamani ya bililioni zaidi ya 900 wenye lengo la kuboresha elimu ya juu.
Rais Samia amemshukuru Dkt. Kikwete na baraza la seneti la chuo kikuu cha Dae es Salaam kwa kumpendekeza kupata tuzo hiyo na aliikubali kwa sababu siyo ya kwake pekee bali watanzania.
Rais Samia alisema alijaribu kutafuta shahada hilo lakini muda haukumpa nafasi
Dr johnthebaptist bingwa mbobevu wa majungu na kuinanga CDM na wachaga wa Rombo,Udaktari wa Heshima ni bora kuliko ule wa akina Jafo