Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

Bora Mwendazake alifanya efforts flani kupata “U-daktari” wake. (Japo wapo wapingao). Wengine wanapewa tu bila kufanya lolote la maana.
Hata kwenye hotuba zake alisikika akisema yeye hataki vya bure bure.
 
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5...

Ile ya Joseph Musukuma ni kama hii au?
 

Attachments

  • 1538FE26-FEA3-4F33-A879-A644E5E16A09.jpeg
    101.6 KB · Views: 3
Mbona Ulaya hawatumii haya majina ya Dr, Prof kwa viongozi?

Je kwa Afrika ni sifa?
 
Hakika Anastahili katika hili maana nimewahi kupendekeza kupitia jukwaa Hili kuwa Chuo kikuu Cha Dares Salaam kimpatie shahada ya udaktari wa Heshima kwa kazi kubwa aliyoifanya nchi yetu

Haaaaaha haaaaha. Kwa hivyo UDSM wanafatilia nyuzi zako. Hongera
 
Aliyeidhinisha kutoka Senate ni Kikwete, mkuu wa chuo, ambae nae alipewa hivyo hivyo pale Udom na Mkapa.

Sababu zikitajwa kua
1. Mchango mkubwa kwenye elimu
2. Kutatua changamoto kubwa kwenye jamii...
Kwanza unatakiwa ukubaliane na machache aliyoyafanya na ujiulize na wewe umeifanyia nini nchi hii
 
Hii ndiyo tofautikubwa iliyopo kati ya hawa wanaopeana digrii za kimchongo na wanaopata hizo digrii kwa heshima stahiki.

Hapa huyo mtunukiwa alitakiwa kutoa bonge la andiko lenye kufikirisha kuhusu 'philosophia' yake katika mambo anayosifiwa kwayo.
Ukitaka mifano rejea ile aliyopewa rais mtaafu Mbeki hapo hapo chuo hicho. Au tafuta zile alizotunukiwa Mwalimu Nyerere.
Badala yake, mtunukiwa anatoa mipasho, tena sentensi mbili zisizokuwa na maana yoyote.

Hivi vyuo vinajishushia hadhi kwa kutunuku digrii za heshima kwa watu wasiokuwa na sifa.

Si angalau hata wangemuandalia andiko, ili yeye alisome tu kwenye hadhara hiyo kama hana uwezo wa kufanya hivyo mwenyewe!
 
Such acknowledgement, in the form of an honorary doctorate, can result in criticism if it appears to be awarded as a favor or to gain funding.
It's both.
That's how bad our situation has become.
 
She has been my doctor since upepo na matumaini yangu kama kijana yalipofufuka. I was Desperate with life kabla ya mwaka na miez kadhaa iliyopita. Akaletwa na Nguvu iitwayo Mungu nikakombolewa. She is the Dr. Na chench inabaki. Viva Her Exelence Dr. Samia Suluhu Hassan. [emoji7][emoji7]
 
Vivaaaaaaaaaa
 
Huko Jalalani wa tuambie... Wakati wa JPM walisemaje..... Yaani tumeshushwa Daraja to uchumi wa kati kurudi tulikokuwa halafu bado kuna mtu anatumia Uchumi kumpatia sifa Rais.... Yaani hata wa Jalalani wanatuona Watanzania ni Mafala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…