macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Samahani sana kama nawakwaza watu. Mimi napenda sana usawa lakini nasema hivi: Mhindi si mwenzako wewe mweusi. Anakupenda wakati anaona anafaidi kitu kutoka kwako. Kigwangala hana cheo sasa hivi hivyo Mo hawezi kumnyenyekea. Ni lazima wakosane. Na Mo naye hapo Yanga yupo kimaslahi tu. Hata CCM nako yuko kimaslahi.Kamfuta urafiki π walikuwa wamepinga kuwa marafiki kwani
Wanzuki.Anakunywa bila kuchuja.Itakuwa anavuta bangi au mlevi wa pombe kali sana
πππππWewe mbona Baba yako hajakuachia mali?
Ilo ni sawa kabisa mimi naona kusema mtu fulani nimemfuta urafiki ni kauli ya kitoto sanaSamahani sana kama nawakwaza watu. Mimi napenda sana usawa lakini nasema hivi: Mhindi si mwenzako wewe mweusi. Anakupenda wakati anaona anafaidi kitu kutoka kwako. Kigwangala hana cheo sasa hivi hivyo Mo hawezi kumnyenyekea. Ni lazima wakosane. Na Mo naye hapo Yanga yupo kimaslahi tu. Hata CCM nako yuko kimaslahi.
Una uhakika MO ana uwezo wa kiuchumi au ni urithi
Anzie hapo,kisha jipige kifua,kama una vyako kwa ajili ya kizazi chako kama ulivyosema basi kizazi chako kikiwa na akili yaku multiply kilicho achwa nawe ni akili kubwa sana ,na hapo ndipo kwenye hoja ,,but nazungumzia mali zinazoishi na sio hizo ambazo depleciation huongezeka kila uchwao,stating something in an opposite way it doesn't mean that you count some body as an ordinary.I have enough properties for my generations and generations to come, au ww unajua ukimuona mtu hapa JF ni just an ordinary guy.. MO ni mwizi mkubwa
Hivi Mo amefika hapo alipo kwa uwezo wake au mali za familia?Huyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo
Zali kivipi? Embu nieleezee mimi ndugu hili zali linakuwaje?Watu wengi wanadhani matajiri wote wapo bright sana kichwani ndio maana wamefanikiwa !! Kumbe ni zali tu limewaangukia π !!
Utajir wa mo ni wa kurithWatu wengi wanadhani matajiri wote wapo bright sana kichwani ndio maana wamefanikiwa !! Kumbe ni zali tu limewaangukia π !!
Asante mkuu.kuwa na wewe muongo,tapeli ili utoboe mkuu kama ni rahisi
Kama akili zako zimeshindwa kukuondolea dhiki ya ufukara zikodishe zisaidie wengine au wewe kakodi za wengineAkili sio Utajiri
Wangapi wanarithishwa Mali na wanazichezea na kurudi kuwa omba omba,. Kuweza kuendeleza Mali ulizorithi kunahitaji usmart wa hatariUna uhakika MO ana uwezo wa kiuchumi au ni urithi
Anzie hapo,kisha jipige kifua,kama una vyako kwa ajili ya kizazi chako kama ulivyosema basi kizazi chako kikiwa na akili yaku multiply kilicho achwa nawe ni akili kubwa sana ,na hapo ndipo kwenye hoja ,,but nazungumzia mali zinazoishi na sio hizo ambazo depleciation huongezeka kila uchwao,stating something in an opposite way it doesn't mean that you count some body as an ordinary.
Hivi Mo amefika hapo alipo kwa uwezo wake au mali za familia?
Tuwe wskweli
Ndugu yangu huu mjadala tushaufunga asante KWA jibu zuri.Wangapi wanarithishwa Mali na wanazichezea na kurudi kuwa omba omba,. Kuweza kuendeleza Mali ulizorithi kunahitaji usmart wa hatari
siaminigi kuhusu zali ma bahati,no hustle,nothing you will get,trust it or not its a realityZali kivipi? Embu nieleezee mimi ndugu hili zali linakuwaje?
Mo hajarithishwa amekabidhiwa mtendaji mkuu na msimamizi, wakati huo akiendesha biashara na familiaWangapi wanarithishwa Mali na wanazichezea na kurudi kuwa omba omba,. Kuweza kuendeleza Mali ulizorithi kunahitaji usmart wa hatari