Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Ukishaingia au ukiingizwa kwenye mkondo wa pesa basi pesa zitakuja tu πŸ˜…. Tuwasifu labda walioanzia alifu kwa kijiti wakafikia kama yeye kama wapo !
Kuna mchungaji nilishamsikiaga hakuna kitu rahisi kama kuwa tajiri, na hakuna kitu kigumu kama ku umaintain huo utajiri. Ndugu yangu unaachiwa pesa ambayo hujui jasho lake $30M Unaizalisha to 1. Something billion inahitaji kichwa smart sana haijalishi pesa kaachiwa, kiukweli kwangu mimi ni mtu smart sana
 
Mpuuzi huyu Kigwangala, Mo angekuwa na uwezo mdogo wa kufikiri asingewachukua Hamza Johari na Chandoo kama wajumbe wa bodi wa upande wake pale Simba.

Huyo Chandoo ni mshauri wa Rais SSH masuala ya finance. Johari ndio kinara wa mageuzi ya sekta ya anga nchini.
 
Ukishaingia au ukiingizwa kwenye mkondo wa pesa basi pesa zitakuja tu πŸ˜…. Tuwasifu labda walioanzia alifu kwa kijiti wakafikia kama yeye kama wapo !
Fuatilia watu wanaoshinda michezo ya kubahatisha na kuingia kwenye pesa ghafla.
 
Umenena !
 
Yeye analima Mpunga na kufuga Ng'ombe wa maziwa Kijijini kwao Nzega!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…