Hivi ndo vinaifanya Tanzania iwe Kama ulaya kumbe? Asante Mr.wahapahapaOf coz wacha tuendelee kudanganyana kwa mambo haya ! [emoji116][emoji116] Magu kanyaga twende mzee. View attachment 1529148View attachment 1529149View attachment 1529150View attachment 1529151
Sasa Kumbe Nini usichoona Nini hapo!. Kwa nini tunapinga visions za mtu!..Hivi ndo vinaifanya Tanzania iwe Kama ulaya kumbe? Asante Mr.wahapahapa
Of coz wacha tuendelee kudanganyana kwa mambo haya ! [emoji116][emoji116] Magu kanyaga twende mzee. View attachment 1529148View attachment 1529149View attachment 1529150View attachment 1529151
graduate bado hujajua cha kufanya?, kama ulikwama toka 2015 unategemea utatoboa muda huu ?Hivi mbona hakuna mgombea anayesema atatuokoaje graduates tuliokwama kuanzia pale 2015?
.
HahahahahSasa Kumbe Nini usichoona Nini hapo!. Kwa nini tunapinga visions za mtu!..
Hivi ulaya kwenyewe anapajua?Labda ataifanya chato Kama dar es salaam
Na mishahara ya Umma mwezi May ilikwama Serikali ikabidi iwapigie magoti Barrick...Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Amka kumekucha. maana naona bado unaota wakati kumeshakucha. hizo porojo danganyaneni wenyewe uko lumumba.Nani kakwambia tunahitaji misaada yao hiyo yenye masharti ya hovyo? Hiyo ilikuwa zamani tulipokuwa nchi masikini. Sisi si nchi masikini tena. Ni middle income country sawa na Afrika kusini, Nigeria na India. Tukitaka pesa tunakopa kwenye taasisi ye yote ya kifedha kwa riba ya kibiashara maana uwezo wa kurudisha mikopo tunao.
Na hasa wa-CCMMnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Viwanda vilivyojengwa kwa kasi vimeshatoa ajira kwa graduates wote.Hivi mbona hakuna mgombea anayesema atatuokoaje graduates tuliokwama kuanzia pale 2015?
.
Mabeberu wenu hawana uwezo wa kumsumbua rais wetu msomi tajiri mtoto MagufuliMwacheni alikaange na cotanak,
Hao mabeberu ndiyo watakaomng'oa mwaka huu.
Anatukana mamba mto hajavuka!!
Hawawataki yeye na nani? Ajisemee ye mwenyewe
Tatizo wanavuta sana bangi kabla hawajaja kuongea kwenye majukwaa ya kisiasa, wengine nati huwa zimelegea vichwaniMnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Rais wetu anatoa kauli zinazoleta kinyaa mbele ya jamii ya watu wastaarabu.Sio wanasiasa wote Ni huyu jamaa tu
Mkapa aliwaita _ wawekezaji
Kikwete aliwaita _ wadau wa maendeleo
Jamaa amawaita _ mabeberu
Lakini anawaomba wasamehe madeni kwa sababu ya korona,Sasa sijui hayo madeni yalikujaje.