Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Ni mawazo mabovu kupinga visions za mtu. Mtu ana maono ya kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya, na Ulaya imekuwa vile kutokana na wazee wao kujitoa mhanga, kufanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu wakati mwingine wakijitoa maisha yao kwenda kutafuta makoloni nje ya Ulaya. Leo hii watoto na wajukuu na vitukuu vyao vinavuna matunda ya jitihada za mababu zao.

Usidhani wazungu wanawaponda viongozi wao wenye maono ya kuifanya Ulaya izidi kuwa Ulaya kwa kigezo cha demokarsia. Ndani ya Magufuli tuna kiongozi aliyerejesha pride ya mtanzania. Watanzania kwa fikra za kujiamini, kufanya kazi kwa malengo, na kwa uaminifu wa kitaifa na uzalendo tunaweza kujiletea maendeleo na nchi inaweza kupiga hatua zenye mwelekeo sahihi wa maendeleo.

Nipe kiongozi kama Magufuli anayeamini kuwa Tanzania inaweza kuwa kama Ulaya, kuliko unipe kiongozi mwingine yeyote mwenye fikra za kitumwa kuendekeza ukoloni mamboleo.
 
Haiwezi kufanana na ulaya kwa sababu ulaya wanna:
- Uhuru wa kujieleza
-Wapinzani hawabanwi
-Hawana ukabila
-Hawakomoani
-Wanawalipa wastaafu kwa wakati
-Hawavunji nyumba za watu wao kwa visasi
-Wanaheshimu katiba zao
Na mengine mengi
 
Hivi mbona hakuna mgombea anayesema atatuokoaje graduates tuliokwama kuanzia pale 2015?
.
graduate bado hujajua cha kufanya?, kama ulikwama toka 2015 unategemea utatoboa muda huu ?
 
Hivi hii kauli nzuri aliongea baada ya kula mahindi ya kuchoma au kabla??
 
Hawataki beberu yeye nani?

Mbuzi jike akipata joto ni lazima apandwe na beberu ili mbuzi waongezeke zizini,na wana kawaida ya kuwakimbia beberu,hivyo beberu huwa wanawabembeleza.

Huyu wetu atabebembelezwa tu hadi akubali kuingiliwa
 
Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Na mishahara ya Umma mwezi May ilikwama Serikali ikabidi iwapigie magoti Barrick...

Hakika Magufuli ni mnafiki sijapata ona duniani !!
 
Nani kakwambia tunahitaji misaada yao hiyo yenye masharti ya hovyo? Hiyo ilikuwa zamani tulipokuwa nchi masikini. Sisi si nchi masikini tena. Ni middle income country sawa na Afrika kusini, Nigeria na India. Tukitaka pesa tunakopa kwenye taasisi ye yote ya kifedha kwa riba ya kibiashara maana uwezo wa kurudisha mikopo tunao.
Amka kumekucha. maana naona bado unaota wakati kumeshakucha. hizo porojo danganyaneni wenyewe uko lumumba.
 
Mnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Na hasa wa-CCM
 
Hivi mbona hakuna mgombea anayesema atatuokoaje graduates tuliokwama kuanzia pale 2015?
.
Viwanda vilivyojengwa kwa kasi vimeshatoa ajira kwa graduates wote.
 
Mnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Tatizo wanavuta sana bangi kabla hawajaja kuongea kwenye majukwaa ya kisiasa, wengine nati huwa zimelegea vichwani
 
Sio wanasiasa wote Ni huyu jamaa tu

Mkapa aliwaita _ wawekezaji
Kikwete aliwaita _ wadau wa maendeleo
Jamaa amawaita _ mabeberu
Lakini anawaomba wasamehe madeni kwa sababu ya korona,Sasa sijui hayo madeni yalikujaje.
Rais wetu anatoa kauli zinazoleta kinyaa mbele ya jamii ya watu wastaarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Watu kutekwa na kupotea ameweza
2. Kupiga risasi wenye maoni tofauti ameweza
3. Kuchukua pension za wastaafu na kuzipeleka chato kaweza
4. Kufunga na kutesa wapinzani ameweza
5. Ubaguzi wa ajira kutoa ajira kwa milengo ya kisiasa kaweza
6. kunyanyasa watumishi kaweza sana
7. Kutuchafua kwenye sura ya dunia kaweza sana maana kwasas hatutofautiani na Cambodia

Tutamchagua Tundu Lissu. Na maamuzi atakayoyatoa ndio tutapata sababu ya kuwafurusha madarakani.

Manina
 
Back
Top Bottom