Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!


Huwa ninakuwa mgumu na mbishi sana pale tu nikiambiwa kuwa Jamaa ana matatizo makubwa, ila taratibu sasa ninaanza Kuwaamini wanaomjua.
 
Hivi bado hizi kaulia za mzee zenye ukakasi zinawashangaza mpaka leo[emoji134][emoji134]? Ameshika mpini (mamlaka) na hatuwezi kumfanya kitu kwa sababu hatuna tume guru, polisi huru,mahakama huru na jeshi huru. Tuombee tu asiamua kubadilia katiba ili kujiongezea muda wa kuendelea kuongoza maana tutapata shida sana.
 
Yaani unataka kusema alikumbuka mambo aliyofanyiwa miaka ya 80's? Na akaja kulipa kisasi? Na alimfanyia nini huyu jamaa?
 
Unajua hilo ndio liko moyoni mwake ,hajui kudanganya ,ni jukumu la wapiga kura kuamua kusuka au kunyoa

Mkuu huwezi amini Mimi ni mwana CCM 'pure' kabisa na namkubali zaidi JPM hata Mungu 'Shahidi' ila hizi 'Kauli' zake zinanisikitisha na kuniumiza.
 
Ukiona mtu anampora mke wa mtu tena mwenye watoto..huyo mtu ni katili zaidi ya shetani..
 
Uzuri kwenye miradi mikubwa ni TOTAL FAILURE . Alikosa utaalamu wa kuipanga matokeo yake miaka 5 hakuna mradi unaoonekana. Madege ni hasara tupu ndiyo maana kasma ya ATCL imehamishiwa Ikulu ili CAG asikague , SGR hata kile kipande cha Dar-Moro hakijafika 60% , STIGLERS Gorge bado mjenzi mshiriki anatafuta fedha.

Kidogo kwenye ukuta wa Mererani ndiyo nimeona and achieve lakini siyo BARRICK Gold.
 
Anaongea kama yeye si mgombea!
Magu anauhakika waushindi. Anawafanyia kampeni wabunge na madiwani. Ndio maana ni mara chache Sana kumsikia akiomba kura za urais
 
ila kwa jinsi Magu anavyobana upinzani akija kupata kura chini ya 90% atakuwa amefeli sana...anapaswa kupata zaidi ya hapo!.
 
Yaani unataka kusema alikumbuka mambo aliyofanyiwa miaka ya 80's? Na akaja kulipa kisasi? Na alimfanyia nini huyu jamaa?

Hoja yako umeijenga 'Kipuuzi' na Swali lako nalo umeliuliza 'Kinafiki' sana Mkuu. Kwani 'Visasi' dhidi ya 'Adui' yako Mwandamizi huwa vina Ukomo?
 
Hoja yako umeijenga 'Kipuuzi' na Swali lako nalo umeliuliza 'Kinafiki' sana Mkuu. Kwani 'Visasi' dhidi ya 'Adui' yako Mwandamizi huwa vina Ukomo?
Pamoja na madongo uliyonipa ni vyema nikapata majibu.
 
Huyu Magufuli ni kichaa. Kama kuna mtu ana chlorpromazine au Cabrpwemazine karibu hebu ampe. Nadhani Dokta wake amesahau kumpa.

Anaongea kinyume na Katiba aliyoapa kuwa ataiheshimu, sasa kwa nini anaropoka hivyo? Something is not okay mentally with him. Tuache mzaha or else tutegemee vituko zaidi
 
ila kwa jinsi Magu anavyobana upinzani akija kupata kura chini ya 90% atakuwa amefeli sana...anapaswa kupata zaidi ya hapo!.

Magu ( JPM ) kuwabana 'Wapinzani' nchini 'Logically' tu kuna 'Uhusiano' gani na huu Uzi? Halafu GENTAMYCINE nikiwajibu 'Kunya' mnanilaumu tu.
 
Hivi wale waandishi wa TBC wanaosimamia haya matangazo yake huwa wanakijua kisukuma isijekuwa jamaa linatumia kisukuma kuwatukana wapinzani wake
 
'Juha Mwandamizi' huwa anajibiwa?
Nadhani ni unafiki tu wa kutaka kuonyesha JPM ni mtu wa visasi. Maana logically ulipe kisasi kisa mkuu wa kazi hajakupa ruhusa,tena mkuu wa kazi alifuata taratibu! Hata kama mnataka kutujaza sumu muwe mnafikiria kwanza.
 
Ndugu yangua jpm akipita hata 2024 haifiki atakuwa keshabadili ukomo wa uraisi na ziko sheria zitaletwa za kumlinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…