MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Connect dot why ikulu mpya,why kuuwa upinzani,rejea kauli za ndugai wanahitaji 2/3 ili wamalize kaziNdugu yangua jpm akipita hata 2024 haifiki atakuwa keshabadili ukomo wa uraisi na ziko sheria zitaletwa za kumlinda
Kwa vipi? Kwani wewe ni miongoni mwa mafisadi?Miaka mitano ya machungu zaidi inakuja
Dalili za mvua ni mawingu
Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi
Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta
kisha akaendelea kuongea Kisukuma
kuiondoa ccm sio kazi nyepesi kama wanavyo fikiria wafuasi wa vyama vya upinzani haswa CDM.mtaji wa kura walizo nazo ccm ni mkubwa ukilinganisha na vyama vingine.
Regadless ya ninachokiona , Kauli aliyotoa ni kauli ya kujiamini kuwa anachukua tena mamlaka, sasa mpira upo kwa uma/wananchi kufuata matakwa yake ama la, yeye keshasema matakwa yake sasa ni wananchi kuamua.
Ile kauli ya maendeleo hayana chama huwa anamaanisha nini?hawajatishwa bali wameelezwa ukweli.....maaana ccm ndio chama kinacho tawala....hivyo mkichagua wapinzania mtakuwa mmejimaliza wenyewe.......sahau maendeleo. bali mkitaka maendeleo chagua Rais wa Ccm Mbuge wa ccm na diwani wa ccm
Unajua kinachoongelewa ndugu mataga?Endeleeni kufanya kamkutano kamoja kila Siku, mwenzenu mpaka muda huu kafanya mikutano mitano.
Hamko serious na kampeni nyie
Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi
Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta
kisha akaendelea kuongea Kisukuma
ccm kushinda haiwezekani hata upinzani wamweke mtu kama wewe, sema watatangazwa washindihivi kweli ukifikiria haswa unadhani kweli CHADEMA inaweza kuingusha CCM ?!hizo ni ndoto za mchana wa saa sita .
hata Mbowe na Lisu wanafahamu kuwa hawawezi kuitoa ccm madarakani.
kwa kampeni inayo fanywa na ccm ni wazi ccm itashinda
Nimeona Ile clip akijinadi ameshafika ulaya hata akiwa Waziri ameshawahi kwenda. Juzi kajisahau kasema hajawahi kwenda Ulaya. Kuna shida ni muongo halafu Hana kumbukumbu.Halafu dakika chache baadae utamsikia akisema "Maendeleo ndugu zangu hayana chama"
Kazi kweli kweli.
Maendeleo hayana chama .why kutishana???Mungu pekee atatuvusha hata kama wanasiasa wataacha kuwajibikaHuko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi
Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta
kisha akaendelea kuongea Kisukuma
Sawa sawa mkuu,,,Apishani na Mabutu Seseseko
Alianza mzee Mkapa kutamani uchaguzi huru, akafuatia Mzee Kikwete kutueleza yale tusiyo yajua baada ya kukurupushwa, akafuatia mama Maria kugoma kuzungumza baada ya kulazimishwa akaishia kuongeza idadi ya watu na sasa wananchi nao wamegoma adi wanazomea.Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi
Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta
kisha akaendelea kuongea Kisukuma
Mfumo unaruhusu kutawala kwa utashi wa mtawala kulingana na mazingira.Ingekuwa sio rais hapo sawa, ila tabia hizi anazifanya hata sasa akiwa rais. Hata uchaguzi wa SM uliharibiwa kwa maagizo yake.