Mkuu mambo ya Mungu ni hatari sana, huyu aliyepita bila kupingwa usishangae asiufikie huo ubunge akaishia njiani.Atake asitake.....na Ndugai akabariki hii kauli. Itapendeza sana kama huyu ndugu atanyimwa uspeaker maana Ubunge ndo keshajinyakulia kwa kupita bila kupingwa
Kwakweli tuna kazi sana kumtoa Huyu mzee..Hilo nami naliona kabisa miaka mitano ijayo itakuwa ni ya kukomoa watu na watu watajuta kabisa
View attachment 1560349
Nachojua mimi huu ni muda wa kuuza sera na sio kutisha wapiga kura na kutumia mabavu. Ni muda wa kushawishi. Kama hali ni mbaya basi ashauriwe kupimzika kidogo ajitafakari na kutuliza mawazo
Kama hampo tayari kumweka madarakani kiongozi tofauti basi fuateni masharti.
"Hatuchagui Mtu wala sura, hata sura yangu ni mbaya, tunachagua Vyama , huwezi kuchanganya mambo Rais awe CCM wengine Vyama vingine, Mimi sifichagi nawaeleza ukweli fanyeni makosa mtajuta, nileteeni Mbunge na Diwani wa CCM, mkiniletea mwingine itaniuzi"
Endeleeni kufanya kamkutano kamoja kila Siku, mwenzenu mpaka muda huu kafanya mikutano mitano.
Hamko serious na kampeni nyie
Mheshimiwa itampasa azindue mbio za mwenge, na awe anambatana nao kwenye kampeni zake za uchaguzi wa mwaka huu. Pengine akili yake inaweza kuwa "recharged" kwa kupitia nuru yake.Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi
Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta
kisha akaendelea kuongea Kisukuma
Tumepoteza kwa kumweka mtu aliyekuwa anajaribu sisi kwa upumbavu wetu tukamsukumiza.Labda wewe peke yako ndio ulipoteza!
Wassira alitabiri itakufa kabla ya 2015, kafa yeye Chadema bado inachanja Mbuga.Chadema inakufa mwaka huu uchaguzi huu ndio mwisho kwao
Kumwaga sera si hadi uwe nazo mkuu.Mzee amwage sera aache kuwatisha wananchi!