Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

Kwa pumba hizo anazoongea mitano ni michache, alipaswa afanye hata hamsini kwa siku moja.
Baada ya uchaguzi msije kuleta visingizio na kumlaumu mgombea wenu kwa kufanya starehe angani
 
Maendeleo hayana chama, Lissu hoyeeeeeee!
 


..ana tatizo la kutoa KAULI ZA MATUSI.

..ashauriwe walau apunguze, kama sio kuacha kabisa.

..Na inasemekana akizungumza KILUGHA hufurumusha MATUSI MAKUBWA zaidi.

..hilo nalo wasaidizi wamrekebishe.
 
Naomba kudeclare interest, You are may best friend ever.
Lakini niliwahi kukwambia namfahamu huyu mtu tangu akiwa kijana akifundisha sekondari na Elimu yake ikiwa ngazi ya Diploma, hawezi kubadilisha labda afanyiwe operesheni ya kichwa awekewe ubongo mwingine.
Maneno ya ukakasi na roho ya kisasi kazaliwa navyo. Wewe najua una access na Mji wa Musoma, uliza alichofanyiwa Headmaster aliyekuwa Mkuu wa shule Sengerema wakati "MTU HUYU" analazimisha kwenda kusoma kabla ya muda wa majaribio kuisha akakataliwa. Alipopata unaibu Waziri wakati wa Mkapa mwalimu huyo alikuwa Headmaster katika shule maarufu na ya siku nyingi hapo Musoma, akiwa mwandishi mzuri wa vitabu vya Kemia vilivyotumika mashuleni, lakini alichofanyiwa na Bwana huyu kwa kutumia nafasi yake ya Unaibu Waziri kilipelekea kuacha kazi na kisha kufa maskini kwa sonona. Niambieni kuhusu mwingine siyo huyu.
 
Huyo ni mgombea aliyeshindwa, kwani Bunda ameacha kupeleka maendeleo alidhani watu watakufa si ndio hao Leo amekutana nao tena anawaomba wamsaidie kura. Ukijifanya mjuaji wa njia ipo siku utaenda omba msaada
 
Kitu muhimu nadhani ni kutomchagua yeye kwanza, halafu na mbunge naye unamkata then unamalia hasira kwa diwani.
 

Hizo ni dalili za kushindwa kwa aibu!
Ameshajua anashindwa hivyo kilichobaki ni kutisha tisha watu tu!
Amepanic!
 
Magufuli akiwa wilayani magu ameonyesha kauli za kuwatisha wapiga Kura kuwa wasipomchagua mgombea wa CCM wasijekumlaumu, imefichuka kuwa siri iliyopo nyuma ya pazia ni kwamba anataka apate wabunge wengi iwezekanavyo ili hata pale linapokuja suala la kubadili katiba asalie madarakani kusiwe na kipingamizi chochote bungeni, kwani atakuwa na wabunge wengi was chama chake hivyo kuwa na urahisi katika kupitisha muswada wa mabadiliko ya uongozi.

Shime Watanzania na wapenda demokrasia, tumkataeni Magufuli kwa namna yoyote ile kwani yajayo hayafurahishi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawa
 
Ukimwambia mtu ukweli unaambiwa umemtisha.
 
Unajua hilo ndio liko moyoni mwake ,hajui kudanganya ,ni jukumu la wapiga kura kuamua kusuka au kunyoa
 
Mikoa ya Dodoma na Singida na Ruvuma wanachagua CCM kwa 100% kuanzia wakati wa Uhuru. Je kuna maendeleo gani kule?
Nenda kaangalie umaskini uliotopea kuanzia kunywa maji machafu, ukosefu wa huduma za afya na elimu duni.

Linganisha na mikoa inayowapa kura wapinzani kama Mbeya, Arusha, Dar, Kilimanjaro na Kagera. Hapo ndiyo utajuwa anayerudiaha nyuma maendeleo ya Tanzania ni CCM yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…