Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Wanyantuzu WAMECHACHAMAA...kupakizwa kwenye malori kama mifugo SASA BASI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa pumba hizo anazoongea mitano ni michache, alipaswa afanye hata hamsini kwa siku moja.Endeleeni kufanya kamkutano kamoja kila Siku, mwenzenu mpaka muda huu kafanya mikutano mitano.
Hamko serious na kampeni nyie
Jesuss🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️View attachment 1560349
Nachojua mimi huu ni muda wa kuuza sera na sio kutisha wapiga kura na kutumia mabavu. Ni muda wa kushawishi. Kama hali ni mbaya basi ashauriwe kupimzika kidogo ajitafakari na kutuliza mawazo
Ndio tafsiri ya Shithole countryIvi ndio katiba yetu inasema ukichagua chama tofauti na kinachoongoza dola ni halamu kupelekewa huduma za kijamii na maendeleo? Na usipolipa kodi katika maeneo hayo unakuwa muhaini?
Yaani ulipe kodi ila maendeleo kwako hayaji na vyombo vya sheria vuko kimya?
Kwenye nchi zinazoheshimu utawala wa sheria Mgombea wa namna hii angekamatwa mara moja na kuondolewa kwenye kinyang'anyiroIvi ndio katiba yetu inasema ukichagua chama tofauti na kinachoongoza dola ni halamu kupelekewa huduma za kijamii na maendeleo? Na usipolipa kodi katika maeneo hayo unakuwa muhaini?
Yaani ulipe kodi ila maendeleo kwako hayaji na vyombo vya sheria vuko kimya?
Regadless ya ninachokiona , Kauli aliyotoa ni kauli ya kujiamini kuwa anachukua tena mamlaka, sasa mpira upo kwa uma/wananchi kufuata matakwa yake ama la, yeye keshasema matakwa yake sasa ni wananchi kuamua.Nadhani hata ww umeanza kuona walakini kwa jiwe. Ameshapanick, na kwa mazingira ya kawaida hastahili kuendelea na kampeni, vinginevyo ataongea mambo ya ajabu sana.
Ulishawahi shuhudia mtu bonge ukipata kipondo toka kwa kimbaombao mpaka anang'ata. Ndio ninachokiona jibaba linang'ataIvi ndio katiba yetu inasema ukichagua chama tofauti na kinachoongoza dola ni halamu kupelekewa huduma za kijamii na maendeleo? Na usipolipa kodi katika maeneo hayo unakuwa muhaini?
Yaani ulipe kodi ila maendeleo kwako hayaji na vyombo vya sheria vuko kimya?
Mara pah! Baba/Mama yako anatokea kumkubali Magufuli kinoma yaani haambiwi hasikii.Magufuli anatakiwa kukataliwa na kila mwananchi mwenye akili timamu, narudia tena mwananchi mwenye akili timamu.
Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi
Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta
kisha akaendelea kuongea Kisukuma
Hajui kutongoza.Ulishawahi shuhudia mtu bonge ukipata kipondo toka kwa kimbaombao mpaka anang'ata. Ndio ninachokiona jibaba linang'ata
Kampeni zimemshinda kutongoza hawezi na ushawishi hana.
Nawalaumu waliokuwa wakimvisha kilemba cha ukoka na kumuaminisha miradi mikubwa itamuinua. Sasa miradi haisemi, wapambaji hawaingii majukwaani, sasa kazi tupu