Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

Wapwa,

Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.

Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi?

Haki huinua taifa

====
View attachment 1589366
“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” amesema Magufuli akiwa Zanzibar
Angalia usiolewe wewe
Na siku hizi unatumia mokorogo
Hapo bado wanja tu
Uwe mwali
 
Huyu ni Mkristo wa madhehebu ya Kikatoloki. Kwa mujibu ya dining ya kikristo Kuna imani ya ndoa ya mke mmoja na mme mmoja.

Hivyo huyu bwana hafuati miongozo ya Dini yake,na mtu ambae anaomba dhamana kubwa Kama urais na akiwa hafuati miongozo ya Dini anayoiamini hastahili kuchaguliwa.

Pili Ni unyanyasaji mkubwa kwa mke wake aliyenae Sasa hivi. Hivyo wanawake wote,wakristo na waislam mkataeni mtu huyu.
Pia Wakristo wote mkataeni mtu huyu.

Kama angekua Ni muislam Haina shida,kwa imani ya kiislam Ni ruksa kuwa na mkezaidi ya mmoja angalau mwisho wanne.

Wito mtu asiefuata mafundisho au Sheria za Dini hastahili kuongozwa Taifa. Nawaomba waislam na wakristo wote tumkatae kwa Hilo.
Pia ni mnyanyasaji wa wanawake.
Unajua uswahili (uafrika) tuna utamaduni wetu, ambao unajumuisha na utani katika mambo ya ndoa. Mfano unaweza ukakuta nyanya yako wa miaka 90 akawa anaita mdogo wako wa miaka 10 mme wake, au babu anatania kitoto kidogo mchumba! Na mifano mingi, sasa sisi tumeiga uzungu vitu hivyo tunaona ni unyanyasaji! Na hao wazungu walio tunyanyasa hawajatulipa!
Katika uafrika, ukisema natamani kuoa kwenye familia yako ina maana sana nyingi, siyo ngono! Maana moja ni kama ninakubali familia yako ni watu wa kutukuka (i. e. siyo wachawi, wezi, hawana mikosi etc ) na mifano mingi mingine. Kwa hiyo akiongea mkulu muwe munajiongeza - japo kuwa kizazi hichi uafrika hamuujui - siwezi nikasema mnaujua uzungu, maana nao hamuujui, mnafuata upepo tu!
Maana ya Magufuli siyo kuoa mke mwingine na wala siyo kumnyanyasa mama Janet! Ina maana nyingi mno - kuanzia kwenye umri wa Mzee Mwinyi, mpaka muungano wetu na zaidi.
 
..mzee amezidisha.

..hivi hana washauri?

..hana jokes tofauti, zaidi ya hiyo ya kuoa vibinti?
 
Mie ninakaribia 70 na nina Wake wawili kuanzia 1994

Mwanamume unakuaje na Mke mmoja kama Mama Mzazi?
Ila wazee wengi wenye wake zaidi ya mmoja wanaishi maisha marefu..

Hii research ya watu walionizunguka kitaa
 
Hata mimi sijui mjuba
Mnajua sana ulaghai ahadi nguvu pesa mikwara mapenzi kdg uongo mwingi pesa mingiiiii etc ......umeona gorofa lile? Kwa Dada zetu wa mujini akatae kwa lipi ?? Wadhaifu hawàaa kaka unapita tu na unajenga kibanda KBS na anakuzalia .....wadhaifu tangu asili kaka
 
Watanzania wanataka uhuru na haki ndani ya nchi yao. Watanzania hawataki kuonewa na kunyanyaswa na kutukanwa ndani ya nchi yao. Ndiyo maana kipindi cha miaka 5 ya Meko amejisifu kuwa kafanya maendeleo sana, lakini why this REJECTION ? Sasa hivi haongelei tena madaraja na madege
 
Leo Mh. Magufuli kule Zanzibar amesema kuwa akimaliza urais ataongeza mke wa pili. Kiukweli kiongozi kama Magu ambaye ni mwafrika na kiongozi mkubwa ambaye kwa muda mfupi amefaya mambo makubwa na ya ajabu, ambaye amewadindishia wazungu katika mambo mengi mazito akiwakilisha Mwafrika harisi kwakweli ni aibu kwake kuwa na mke mmoja hadi sasa.

Yeye anasema ataongeza akimaliza uongozi, hapo anakosea kabisa kwani alitakiwa ati listi angekuwa hata na watatu ndiyo afikirie kumalizia na swala la muungano kuoa wa Zanzibar.
Magu nikama chifu Mkwawa, Mfalme Mwanamutapa na wengine waliotupa heshima bara la Afrika hawezi kuwa na mke mmoja. Wazee wachache mliobaki wenye hekima mshaulini Mzee afanye jambo la msingi kwani ndiyo uafrika wenyewe na si uzungu hapa.

Huo ukatoriki wake usiwe kikwazo hata kidogo kwani umekuja juzi tena kwa kazi maalumu, afanye kama Mungu wa Afrika alivyo mleta na si Mungu wa wazungu ambaye siwetu.
Ulingosha, na si ulimkatoliki.
 
Waliozalishwa nae kienyeji hawahesabiki kama wake zake ?
 
Kama hujui kitu nyamaza , mnaanzisha nyuzi lakini tukifunguka humu mnaanza kulia lia
 
Mie ninakaribia 70 na nina Wake wawili kuanzia 1994

Mwanamume unakuaje na Mke mmoja kama Mama Mzazi?
Hyo case yako tu kwa ukoo wangu watu huoa one wife na Wana umri mkubwa tu kuliko wa watu wengi, so kuishi umri mrefu Kuna factors nyingi kuliko ya kuoana na watu wengi, roho yako usipokuwa jamani na kumcha Mungu hata uoe wake 100 life expectancy lazima iwe fupi.
 
Back
Top Bottom