Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Angalia usiolewe weweWapwa,
Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.
Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC kama sisi?
Haki huinua taifa
====
View attachment 1589366
“Unajua Mzee Mwinyi aliniambia siri ya kuishi maisha marefu yeye ana miaka karibu 96 ni kuwa na Wanawake wawili, sasa mimi nina mmoja tu nikimaliza Urais nitaangaliaangalia kupata wa pili huku Zanzibar, nimeona mambo mazuri huku” amesema Magufuli akiwa Zanzibar
Na siku hizi unatumia mokorogo
Hapo bado wanja tu
Uwe mwali