TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

TANZIA Dkt. Misanya Bingi, Mhadhiri wa UDSM na Mtangazaji wa zamani wa Radio One afariki dunia

Mkuu unaonekana ukimwona Mtu ana PhD yake na anaitwa Dkt Fulani huwa unatetemeka kabisa na unaweza hata ' ukamlamba ' unyayo wake au? Acha Umbwigira / Ushamba na usitishike na Viwango vya Elimu vya Watu bali tishika na yale ' madini ' yao yaliyopo na yanayowatoka katika ' brains ' zao. Uwezo wa Msomi haupimwi na Certificate au Diploma au Bachelor au Masters au PhD bali ni zaidi ya hapo.

R.I.P sana Kamarada ( Comrade ) Misanya Bingi.

Una ijua elimu yangu ?
 
RIP pole mama Collins kwa msiba mkubwa.
siku si nyingi walipata msiba kwa misanya kufiwa na ndugu yake kama kumbukumbu zangu ziko vizuri.
 
Kapumzike kwa amani Brother,mbele wewe nyuma sisi.JINA LA MUNGU LIHIMIDIWE na awatie nguvu wafiwa.
 
Misanya Bingi mzee wa kipusa muda ule akiwa Radio one! Roho Mtakatifu awe mfariji mkuu wa familia yake
 
Back
Top Bottom