Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,250
- 2,309
ulikuwa unataka awe dokta wa meno🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁Mtaalamu wa Computer na mambo ya usalama wapi na wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikuwa unataka awe dokta wa meno🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁Mtaalamu wa Computer na mambo ya usalama wapi na wapi
Ila hta uyo putin kwao hajawahi kua secret service agentMkuu umeonaa!watu wanataka mtu aliyeshapitia mafunzo ya kijeda,ashapigana,vita,ser n'a blak belt,ashaenda sana kwenye course cuba,Israël,marekani,north korea....awe ngangali......Kama putinnn
Ova
sasa mbna haijatajwa au hzo za system hazikai kwenye cvSuala siyo kusoma tu! Mwenzako anasoma tayari yuko kwenye system
Ivoo eeehBosi wa usalama anapsswa kuwa mwanajeshi aliyebobes kwenye mbinu mbalimbali za medani na usalama wa nchi!
Mabwepandeulikuwa unataka awe dokta wa meno🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
Microsoft OfficeAna degree ya nini..?,computer knowledge,
computer science,computer engineering au computer maintenance?
Hapa umedanganya mkuu!!! Putin na netanyahu wote ni majasusiIla hta uyo putin kwao hajawahi kua secret service agent
Unaelewa maana ya secret service?sasa mbna haijatajwa au hzo za system hazikai kwenye cv
Mifumo ya Kompyuta ina hitaji usalama.Mtaalamu wa Computer na mambo ya usalama wapi na wapi
WASIFU MFUPI (CV) WA MKURUGENZI MKUU MPYA WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA, TANZANIA (TISS), DKT MODESTUS KIPILIMBA
Jina kamili ni Modestus Francis Kipilimba
Dini ni Mkristo
Ni mzaliwa wa Morogoro, Tanzania
Alifunga ndoa mwaka 1988, na ana watoto watatu.
Kuanzia Januari mwaka 1973 hadi Novemba mwana 1976 amesoma Shule ya Sekondari Kingonsera iliyopo Mbinga mkoani Ruvuma. Kidato cha 5 na 6 amesoma Mkwawa High School iliyopo mkoani Iringa. Shahada ya kwanza amesoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika masuala ya Kompyuta.
Shahada ya Uzamili (Masters Degree) alisoma nchini Uingereza katika chuo Salford, Manchester ambapo alisomea masuala la Kompyuta tangu Septemba 1992 hadi Novemba 1994.
Shahada ya Uzamivu (PhD) alisoma katika chuo hicho hicho cha Salford kilichopo Manchester Uingereza, kutoka Februari 2002 hadi Septemba 2005.
Dkt. Kipilimba alikuwa Mkurugenzi wa Menejimenti ya Udhibiti (Director of Risk Management) Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Tarehe 15 Februari, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimteua Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Dkt. Kipilimba alijaza nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Dickson Maimu ambaye uteuzi wake ulitenguliwa. Tarehe 24 Agosti, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Chanzo: Swahili Times
AMEMALIZA SEKONDARI 1976, Alikuwa wapi?Hahaha, yaani hili jukwaa burudani kwelikweli! By thevway inakuwaje bosi usalama wa taifa hana mafunzo ya kijeshi, na kiusalsma kwa ubobezi kabisa? Au kuwa na utaalamu wa usalama wa computer dystems inatosha?
Umbea haufai, ukishajua itakusaidia nini? Tosheka na hiyo iloyopoMkuu umeonaa!watu wanataka mtu aliyeshapitia mafunzo ya kijeda,ashapigana,vita,ser n'a blak belt,ashaenda sana kwenye course cuba,Israël,marekani,north korea....awe ngangali......Kama putinnn
Ova
Mbona sijaona uzoefu wake WA KI TISS TISS? au nitaitwa mchochezi? ACHA niishie Hapo nisije nikazolewa hapa nyuma ya kibodi, upepo umesha chafuka
upeo wako upoje!?..kwa tz ilivo unaweza kuwekewa cv ya tiss hadharan,unadhan wao hawajui wafanyalo mpaka waweke mtu asiestahikCv maana yske nini kiongozi?
Nikweli mkuu,,Shule za Kigonsera, Dakawa, Kibaha, Mkwawa, imetoa wengi kweli kwenye hiyo idara
Mkuu, uliwahi kuona mtu anaelezwa wasifu wake wa ki TISS TISS? Binafsi sijawahi kuona hata siku moja. Hata huyu aliyemaliza muda wake naye sikuona wakati anateuliwa kushika wadhifa huo
Kwan uliwah kuona wanatangaza nafasi za kazi za TISS? na kama jibu ni hapana inamana huwa hakuna waajiriwa wapya? mind u kiusalama hilo la CV huwez kuliskia
Bosi wa usalama anapsswa kuwa mwanajeshi aliyebobes kwenye mbinu mbalimbali za medani na usalama wa nchi!
Ni kweli usemayo lakini kwa upeo wangu mdogo alifaa ateuliwe miongoni mwa waliokaa kwenye idara hiyo na waliokubuhu ktk masuala ya upelelezi hasa ktk nyanja za kimataifa