LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Anathibitisha kauli yake aliyowahi kusema ya "Watanzania ni Wajinga Sana"
 
Katika mikoa ya Kaskazini, hii jamii ya masai ina ma snitch sana. Huyu Mollel ni mfano hai
 
Wa Tz ni wajinga na wana sura mbili (unafki) Hapo kwenye mkutano wanaitika na wanakbaliana na hizo kauli za kipuuzi kama mazombie ila wakienda kwenye vijiwe vya kahawa na kwenye mitandao wanapingana nae bado tuna unafki wa kuogopa kumkabili mtu na kumueleza black & white
 
Unafiki ni adui mkubwa hili liko wazi.
 
Mkusanye kodi kwa wana CCM halafu tuone nchi mtakavyo ijenga kwa kasi acheni kauli za kuwagawa watu zina gharama hizo kauli zenu za kizembe
Ndipo kodi zaidi inakusanywa huko kizalendo zaidi gentleman,

ninyi mercenaries tunawalazimisha tu ila pia Lazima mlipe kodi 🐒
 
Ahaa!. Kumbe CCM ni taasisi isiyolipa kodi. Kodi hulipwa na taasisi au mtu binafsi kulingana na shughuli za uchumi zinazozalisha mali na kuingizwa kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Nje ya utaratibu tajwa, anachokisema huyo mgombea ni kukiri kuwa CCM ni mafisadi na kazi yao kuu ni kutakatisha pesa.
 
Mtua anakuwa mjinga kuliko ujinga wenyewe ,Sasa unamchaguaje mtu amabaye hajui hata vyanzo vya Mapato vya serikali yake? Hajui Kodi za wananchi wake? Kweli Kichwa Cha Nyoka hakibebi mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…