LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hii zarau ximezidi aisee yaani CCM imetufikisha hapo jamani.na sisi ni mazezeta tu ngoja watunyoshe hakuna mtu anaweza kuhoji mapato na matumizi ya halimashauri yoyote tz wananchii hawajuai fedha zimekuja kiasi gani na zimetumikaje ni siri ya mkurugenzi na madiwani fake wa CCM.
 
Huyu jamaa amekaa kama Comedian fulani hivi. Kuna siku aliwahi vaa t-shirt imeandikwa SAMIA LOVE!!
 
Anatumia gari la Serikali na anasema si Kodi za wananchi ila imeletwa na Chama cha Siasa?
 
Madhara ni makubwa sana kwa kauli hii. Hapa anawapa kazi kubwa sana TRA katika kukusanya mapto ya serikali ambapo Mh Raisi ametumia busara kubwa sana kuwataka TRA wasitumie mabavu katika kukusanya. Sasa wananchi wanaposikia kuwa siyo kodi zilizojenga bara bara au mashule au sgr au chochote kile cha maendeleoa unadhani iatakuwa raisi kulipa kodi? je unadhani TRA itakuwa kwao raisi kukusanya na kuvuka malengo? haoni kama anapingana na mh Raisi ambaye amekuwa akisisitiza kodi zikusanywe kwa weledi ili kuleta maendeleo?Tisa kumi aliposema serikali zingine kwani hakuwepo kwenye baraza kabla? halafu serikali zote zilikuwa za Chama gani? kama ni chama ndicho kilicholeta pesa hizo sasa serikali zilizopita zilitokana na chama gani? kauli hii mbona inakichafua chama na serikali kwa ujumla? kuna nini maana viongozi wanakuja na kauli za kama kuchonganisha serikali na wananchii? yule alisema kura hazitegemei sanduku la kura, huyu anasema maendeleo hayaletwi na kodi. Au ni kusudi kuchafua serikali? mimi na elimu yangu ndogo siwezi kuongea hivo hali ya kuwa ni kiongozi. Nachojua bila kodi hakuna nchi au serikali yoyote inaweza jiendesha. tena hapo nazungumzia nchi zilizotuacha kiuchumi sembuse hii yetu maana hata ukikopa mwisho wa siku kodi ndiyo inayoenda lipa madeni. Labda swali dogo kwa mh Bungeni mwezi wa sita tunapomuona waziri wa fedha na begi limeandikwa bajeti na wao wakiwa ndani wanaitikia ndiyoo huwa wanajadili nini na zinatika wapi hizo pesa na sehria zinavyowekwa sijui vat , sdl , payee , kodi kwenye bia, sigara n.lk kwanini wanazijadili na kupitisha kama hazina maana?
 
Samahani moderator naomba kutukana maaana nimepata hasira sana huyu jamaaa ni KALIO KWELI NATAMAN ASIRUDI MBWA KOKO MLAMBA MAKALIO
 
Hizi ni dharau kabisa kwa wananchi na huyu ndio anaitwa mbunge, takataka
 
Ndio tatizo letu, kumpa mtu makavu on his face tunaogopa. Lakini sishangai ndio mfumo tuliokuzwa nao wengi kwamba mkubwa hakosei japo kwangu mi mkubwa ni binadamu kama mimi. Akizingua nampa shiti bila kumuwaza😁
 
Tabia ya ukondoo inafundishwa toka level za shule. Mtoto akiwa ana hoji na kupinga mambo yasiofaa anaitwa mtukutu. Anafukuzwa shule na kurudishwa siku ya mtihani ili kuwatia hofu wengine wasije waka challenge uongozi😂.

Ndio matokeo yake hayo. Mkubwa hakosei!
 
Dr mollel hajui kuongea na public,
Sio ajabu ameendelea kua naibu miaka nenda Rudi, Kila akiongea anaharibu.
 
Ni aibu kubwa mnooo hivi tunaelekea wapi kama Taifa?ni kweli vijana hawalioni hili janga?CCM must go na katiba ibadilishwe hatuwezi kuwa na viongozi kama hawa karne hii bandeko na ngai
 
Hiyo land cruiser v8 ni ya serikali na iko kwenye shughuli za chama. Matumizi mabaya ya madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…