Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha

Huyo safari take ya uwaziri ndio imefikia mwisho

Nasema ngoja mama arudi. Kama haamini ngoja atashangaa maana hata yeye ni mshauri wa mama.

Pia hao washauri wa mama wamewekwa na mama kwahiyo mama atakua. Au ngoja niachie hapo kwanza ila nasema mama akikasirika anaweza akafanya utenguzi akiwa ughaibuni.

Labda hao wasiojielewa wasimfikishie hili
 
Ni ujinga huo huo unaojidhihirisha katika maeneo tofauti tofauti kama vile:

1. Shule za msingi na sekondari kutokuwa na madawati.

2. Ni ujinga huo unaojidhihirisha kwa baadhi ya shule kuwa na watoto wanaosomea chini ya mti.

3. Ni ujinga huo unaodhihirisha kwa mtu kama Mwigulu kujiona wabunge hawawezi kumhoji kwa sababu yeye ana PhD.

4. Ni ujinga huo huo unaojidhihirisha kwa shule zetu nyingi za kata kujengwa zaidi ya chini ya kiwango. Shule za kata zimejengwa kama vile tupo On Transit hapa nchini.

5. Ni ujinga huo unajidhihirisha katika kuamini ni sawa kujenga madarasa na matundu ya vyoo kwa hela za mkopo badala ya kupeleka kwenye miradi yenye sura ya biashara.

6. Ni ujinga huo huo unajidhihirisha katika utoaji wa huduma za elimu hadi wanafunzi wanafika kidato cha 4 bila kujua 3Ks or 3Rs.

7. Ujinga ni mwingi hadi unamwagika nchi hii.
 
Duh

=====

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
Huyu mkoma si ndiye aliwaomba wananchi wa Siha wampe jiwe corona(na ikawa hivyo) badala ya kumuombea kura, ni moja ya watu wapuuzi kabisa kuwahi kutokea.
 
Huyu mjinga dk uchwara ndo alijenga Banda la kujifukiza muhimbili Ambalo mara ya mwisho walimuingiza umo Magufuli na hakupona corona

Yaani hapo yeye ni jambazi na hajapata mahali pazuri pa kuchota!
Mjinga ni yeye na family yake walahi!
IMG_0117.jpg
 
Duh

=====

"Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya

View attachment 2520264
Kwa mujibu wa Katiba Mawaziri ni washauri wa Rais. Tafsiri rahisi ni kwamba Rais anashuriwa na wajinga àmbao ni Mawaziri. Kwa hiyo awaondoe amuweke Molel mwenye akili.
 
Zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa nikiwaona wazee wenye upara Kama wa Mollel najua Wana akili sana na ni werevu ....,Ila toka ninemjua huyu jamaa kipindi anakatakata viungo vya mboga nakusema vinaponya covid niliondoa hizo fikra za wenye mapara wote wana akili.
 
Back
Top Bottom