Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

Sasa wewe uliosoma unaandika "the least" ?
 
Wewe kama mwalimu wa LST ulichukua hatua gani kuwaboreshea ubongo hao ambao ulikuwa unajiuliza chuo wamefauluje! Acha egoism we mama
 
Acha kuongea uongo hapa mwnyw nimepita LST nilikamatwa but nikazichomoa second sitting! Hayo masuala ya kusema wanafunzi hawasomi ni uongo! Hakuna lecturer yoyote wa LST hapa atakayekiri madudu yanayofanyika pale....nasema hivyo kwa sababu nimepita hapo na nina uzoefu wa kutosha. Kama una hoja za msingi lete hapa tujadili........
 
Mwakyembe amefeli kabla hajaanza. Ukimuona kwa mbali na zile suti Zak na mawani utadhani umekutana na mbobezi wa Sheria.

Mwakyembe hakuna kitu cha maana amewahi fanikisha zaidi ya mbwembwe za kuwa na degree 4. Mfano ni ripoti ya Richmond na kingine ni treni za Dar kutoka kwa yule mhuni wa Marekani. Mwakyembe ni FEKI
 
Mwakyembe hana hamu na Lissu kabisa. Kuna kipindi Lissu alimwonyesha alivyo empty kichwani.
 
Mambo. LST ni chuo cha law sasa lazima kufurahisha wote waliochaguliwa ni wanasheria. Hata huyo aliepita hapo sio mwanafunzi tena. Ni muhimu kuwa na uwakilishi wa wanafunzi. Wangeweka at least 2, mkaka na mdada.
Pili ni vizuri wangekua pia na mjuzi mambo ya elimu hasa curriculum, assessment na evalution.
Ingependeza pia kuweka mtu mmoja ambae si mwanasheria lakini ana elimu ya kutosha na amebobea kwenye utafiti ( anaweza kuchimba mambo). Hapa tungekuwa na balance nzuri.
 
Kwa hiyo mlitaka kila mtu afaulu? Acheni siasa watu wasome
 
Hilo ni tatizo la wanafunzi au la walimu wanaowafaulisha?.
 
-Vijana wanataka first sitting ziwe 100
-Dr zakayo lukumay alisema tatizo vyuo vile vya degree pia ni tatizo.
Na maprofesa wa vyuo vya degree wamesema kuwa vyuo vyao havina matatizo yoyote, vinatoa elimu kwa ubora mkubwa tu
 
Duh ndio uliko fikia kuleta utetezi wa ajabu kwa Jambo serious ,unafananisha law school na Michele kweli duh CDM Kaz ipo kweli
 
Kinachochunguzwa hapa ni Nini wakati wanafunzi wamefeli mtihani!? Labda wachunguzwe walioandaa mtihani huo au wasahihi!
Nchi hii Ina uzembe wa hali ya juu.
Mtihani unatakiwa uwe inafanyika kila.miezi 3 ili.kumuandaa mwanafunzi na pale hafanyi vizuri anapaswa kujirejea alikokosea hadi uke wa mwisho point zinakusanyika. Kweli Sasa hiyo tume inakaa Kwa gharama za Nani??
 
Kwa ujumla wake mwkyembe Ana roho mbay San lzm atakuja kwa mbwebwe mzee wa degree nne ,wew unadhni kuwa mwakiyembe anatka kuona watu wengine wamemfikia kitaaluma ?
 
Mm naamini wengi hawasomi wako wanakimbizana na pisi kali
 
-Vijana wanataka first sitting ziwe 100
-Dr zakayo lukumay alisema tatizo vyuo vile vya degree pia ni tatizo.
Mkuu wa Chuo ni Benhajji Shaaban Masoud - huyu ndiye msemaji wa Taasisi, Lukumay anapambania kombe, anakiuka hata taratibu za kitaasisi.
 
Mkuu wa Chuo ni Benhajji Shaaban Masoud - huyu ndiye msemaji wa Taasisi, Lukumay anapambania kombe, anakiuka hata taratibu za kitaasisi.
mkuu, hoja aliyoitoa ina msingi au haina msingi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…