Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

Mwakyembe haaminiki , hata matokeo ya uchunguzi wa kamati yake hayataaminika na jamii .

Kwa mfano , alipokuwa Mbunge wa Kyela aliwahi kuwaaminisha wananchi wa Jimbo hilo kwamba ATAWATAFUTIA SOKO LA MCHELE WAO NCHINI MAREKANI , lakini hadi anapigwa chini hakuwahi kutimiza ahadi hiyo
Mungu ibariki JF
 
😆😆😆😆😆
 
Nafikiri ifike mahali wananchi wajue kutofautisha wanasiasa na professional. Labda professional yaoe ni mwanasheria but akaingia kwneye siasa

Je hilo linamuondoloea credibility kwenye jamii?
 
Back
Top Bottom