Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

Taja hata idadi ya waliofungwa hata kutumikia kifungo Cha wiki moja jerae
 
Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi...
Pamoja na kwamba Mpina anaongezea chumvi ila Kuna hoja ya kujibu.

Kwa nini manunuzi ya single source kinyume na sheria za Nchi na PPRA?

Hapa ndipo Kuna harufu ya Rushwa Ili kutoa upendeleo Kwa maofisa wa TRC,Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Fedha,Mwanasheria Mkuu wa Serikali nk.

Hoja ya gharama sio issue sana Kwa sababu zilizotajwa na Serikali Zina make sense kwenye Ongezeko la gharama
 
Screenshot_20231103-161119.jpg
 
Mpina anapoteza muda wake tu,kama kweli ana lengo na nia ya kupambana na Mafisadi aje Upinzani.

Wizi wa fedha za Umma ndio uti wa mgogo wa Chama hicho cha wezi.
 
Hizi kelele tusha zichoka kwani hamna kinacho fanyika mpaka sasa sometimes wakaege kimya kama wanashindwa kuwachukulia watu hatua na ikiwezekana CAG wampangie kazi nyingine.
 
Halafu we masikini huku unahangaika na kibiashara chako halali ambacho nacho kimerundikiwa kodi za kila aina ili angalau familia yako waweze kula lakini wengine huku wanajichotea tu. Not fair 🚮🚮🚮
 

View: https://youtu.be/B_XR2NBGHAk?si=z8R3LGMlhPRugIBy

Ripoti ya CAG na Kamati ya PAC na uchambuzi wa Mh.Mpina unaonyesha Waziri amelitia hasara taifa.
Ajabu ni kwamba eti mpaka muda huu bado ni waziri. Ingekuwa China huyu Waziri angeshanyonga au angenyongwa hivi karibuni

Magufuli alipotembea mikoani akiwaambia wananchi nileteeni huyu alidhani siku zote nia njema inamkomboa mtanzania.

Ni vigumu sana kuua upinzani, kuna wakati unakuwa ni mfumo wenye faida nyingi zaidi kuliko kuishi bila ya kuwa na aina yoyote ya mawazo kinzani.

Huyu Mpina anauziba utupu wa kisiasa, anafanya kazi ile ile ambayo ingefanywa na wabunge wa upinzani. JPM alichoshindwa kukubaliana nacho au kukielewa ni ule ukweli kwamba asili huwa haikwepeki hata siku moja.
 
Viongozi wa nchi tunapigwa tumepigwa ndio lugha gani hizi
 
Hakuna jitu jinga km Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu. Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Ulikuwa karibu naye sana nini? 😁
 
hivi huyu mjamaa hua ana uchungu kweli na rushwa nchini au ana uchungu wa kutemwa na kuachwa kunako baraza la mawaziri serikalini?
Maana hayo yanafanyika, yumo serikalini anayaona na amekaa kimya tuli analamba Asali tu......
jamaa zingine dezi sana....
Amekaa kimya? 😳😳😳
 
Amekaa kimya? 😳😳😳
ndio alikua waziri tena alikua na mbwembwe na kulewa madaraka hadi kupima kufikia hatua ya kupima samaki waliokaangwa na kukosa shape kwa rula eti ndio anatafuta wanavua samaki wasio ruhusiwa kuvuliwa......
Bado nataka kujua ana uchungu wa Rushwa serikalini au uchungu wa kutemwa kwenye baraza la mawaziri?
 
Back
Top Bottom