Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kwamba Mpina anaongezea chumvi ila Kuna hoja ya kujibu.Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi...
hivi huyu mjamaa hua ana uchungu kweli na rushwa nchini au ana uchungu wa kutemwa na kuachwa kunako baraza la mawaziri serikalini?
View: https://youtu.be/B_XR2NBGHAk?si=z8R3LGMlhPRugIBy
Ripoti ya CAG na Kamati ya PAC na uchambuzi wa Mh.Mpina unaonyesha Waziri amelitia hasara taifa.
Ajabu ni kwamba eti mpaka muda huu bado ni waziri. Ingekuwa China huyu Waziri angeshanyonga au angenyongwa hivi karibuni
Taarifa hizo zinaweza kupatikana ushahidi wake kama ukihitajika au ni yale yale ya kusikia kitu ambacho kitaalam hakiingii akilini?.
Ulikuwa karibu naye sana nini? 😁Hakuna jitu jinga km Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu. Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Amekaa kimya? 😳😳😳hivi huyu mjamaa hua ana uchungu kweli na rushwa nchini au ana uchungu wa kutemwa na kuachwa kunako baraza la mawaziri serikalini?
Maana hayo yanafanyika, yumo serikalini anayaona na amekaa kimya tuli analamba Asali tu......
jamaa zingine dezi sana....
ndio alikua waziri tena alikua na mbwembwe na kulewa madaraka hadi kupima kufikia hatua ya kupima samaki waliokaangwa na kukosa shape kwa rula eti ndio anatafuta wanavua samaki wasio ruhusiwa kuvuliwa......Amekaa kimya? 😳😳😳
Mtaa upi upo vizuri ma sisi tuhamie huko!Mpina anaishi na machungu sana awamu ya sita. Angalau biashara zilizokuwa zinakufa awamu ya tano kwa sasa zinafunguka na mzunguko upo vizuri huku mtaani.
hapo kuna mateso gani kwa mfanoView attachment 2802614View attachment 2802616View attachment 2802615
Wananchi wanateseka huku Mafisadi ya CCM yakila Bata.