Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbukumbu zangu zinaonesha mbarawa alikua Waziri wa jakaya na magufuliMwigulu amekuwa akihenyeshwa na Mpina karibia miezi sita mfululizo, hana hamu kabisa na huyo jamaa.
Huyo Mbarawa ni sawa na mdoli tu wa Samia, hata yeye binafsi naamini anajua kabisa hastahili kuendelea kuwepo kwenye hiyo nafasi, amshukuru dada yake anayemlinda.
Namba ni tatizo kwa wengi.huyu nae sjui anaumwa anaijua trilioni 280 huyu jamani..?
Magufuli alimtumbua, Samia anamkumbatia kwa ujinga wake.Kumbukumbu zangu zinaonesha mbarawa alikua Waziri wa jakaya na magufuli
Huyo Bashite fedha za TASAF ameshazirejesha?Hayo Mashamba Komredi Makonda atafuatilia
Ujinga upi huo ambao jakaya na Samia wanao kwa mbarawa!?Magufuli alimtumbua, Samia anamkumbatia kwa ujinga wake.
Kakuibia nini hebu fafanua weka na ushahidi?.Mpina nimwizi katuibia wavuvi
Kwanini usishambulie hoja yake?Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.
Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Biashara zipi?Mpina anaishi na machungu sana awamu ya sita. Angalau biashara zilizokuwa zinakufa awamu ya tano kwa sasa zinafunguka na mzunguko upo vizuri huku mtaani.
Nyingi tu huko mitaani zimeanza kufufuka.Biashara zipi?
Hoja yake vipi?Wote wezi tu ndio maana hawamchukulii serious. Ni sisi wananchi tusiokua na akili ndio tunamuona Mpina ni mzalendo!! Huyu Mpina anayetaka ripoti ya CAG iheshimike huko nyuma aliwahi sema inatumika kumchafua JPM na alikua mmojawao waliotaka CAG Assad achukuliwe hatua na bunge!! Cha ajabu leo hana uwaziri ndio anaamini ripoti za CAG?
To hell
Hujawahi kufanya hata biashara ya kuuza machungwa!Nyingi tu huko mitaani zimeanza kufufuka.
Ulitaka asemee wapi ? Mpuuzi ww!! Au unanufaika na wezi?[emoji706][emoji706]Mpina kasema akiwa bungeni au nje!?..aje nje ya bunge aseme hivyo,wakisema bungeni hawashitakiwi,wanaropoka tu
Aisee!Bungeni hawatumii akili za darasani,; kibajaji na msukuma wasingekuwa bungeni.
Kwani fedha na Mali za serikali zinazaanza kuhesabiwa kwenye bajeti ??Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni.
Mpina ameomba Waziri Dr Mwigullu PhD na Prof. Mbarawa Wakamatwe na kufungwa kwa Uhujumu Uchumi.
----
Hivi ndivyo ilivyokuwa ndani ya Bunge, leo Novemba 3, 2023 wakati Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina alipokuwa akichangia hoja kisha kujibiwa na Mbunge na Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba kuhusu upigaji wa zaidi ya Tsh. Trilioni 30.
Hatutaki unafiki wenu kama alishasemaga ripoti za CAG ni za kumchafua JPM basi aendelee kuamini hivyo sio kisa kakosa uwaziri ndio anajifanya kumtambua CAGHoja yake vipi?
Huu upumbavu wa watz badala ya mtu ashambulie hoja anaanza kushambulia mtu alietoa hoja!
Wewe una chuki kwa Mpina, ujinga wake ni upi? Ungetuletea ushahidi kuwa hakuna pesa inayoibiwa watu tungekuelewa, lakini hii ya kumshambulia bila sababu ni chuki binafsi, je CAG aliyetoa report juu ya upotevu wa fedha ya serikali nae hana akili?. Unamtetea Mwigulu, una uhakika gani kuwa haibi? Hiyo ya Mpina kutokuwa na akili umesema ulisoma nae, je Mwigulu unaedai ana akili, je, nae ulisoma nae? Mpina angewezaje kusoma na kumaliza Mzumbe kama hakuwa na akili?Hakuna jitu jinga kama Mpina, lenyewe ndio halijui kitu. Namfahamu tangia kaiwa Mzumbe huwezi kwa namna yoyte kumlimganisha hata kwa tone na Mwigulu.
Huwa linaongeaga kwa jazba kukosa uwaziri, shida ni kwamba halina impact ktk nchi hii. Amesharudisha yale mashamba alowadhulumu wananchi kule Morogoro?
Two wrong don't make a rightWote wezi tu ndio maana hawamchukulii serious. Ni sisi wananchi tusiokua na akili ndio tunamuona Mpina ni mzalendo!! Huyu Mpina anayetaka ripoti ya CAG iheshimike huko nyuma aliwahi sema inatumika kumchafua JPM na alikua mmojawao waliotaka CAG Assad achukuliwe hatua na bunge!! Cha ajabu leo hana uwaziri ndio anaamini ripoti za CAG?
To hell