Dkt. Mwigulu: Kabla ya Samia kuingia madarakani mabenki yetu yaliishiwa pumzi

Hawa machawa wa dikteta Magufuli watasema yote! Shenzi zao!
 
Hivi huyu Mwigulu ndiyo yule yule aliweka record ya kuwa waziri pekee aliyekula kiapo cha uwaziri akiwa kijijini Chato nyumbani kwa Mh. Magufuli?
 
Hii ya kukukopa hata leo usumbufu ni tena mkubwa Sana tena kuna baadhi ya benki zimezidi, nadhani wana stress ya deposit hadi Sasa.
 
Haikuwa sahihi kabisa kwa serikali kuwa na blanket access na akaunti za wateja benki. It was inexcusable.

Credible banking industry inaruhusu access kwenye akaunti za wateja kwa kibali cha mahakama kinachopatikana kwa mchakato unaokubalika kisheria kwa kusudio maalum. Na kuna masharti yanayolinda taarifa na usalama wa akaunti hizo katika hatua hiyo.
 
Kesho Samia akitoka, akija raisi mwinginea aweza sema hivi pia. Mwigulu ni janga
 
Yaani ilikuwa hivyo TRA na kitengo cha Anti money Laundering utafikiri walikuwa na vita na wenye akaunti benki .Vita kubwa kuliko ya Ukraine na Russia So sad .Watu wakaanza kukwepa kuweka pesa benki wakaziona benki kama ukoma
 
Kamshahara kako ka laki nne jiwe angechukua afanyie nini?

Yaani kila kitu mnapakazia huyu marehemu..
Ilibidi tuwaombe freemasons wamtoe uhai , maana alikuwa anatuharibia mipango yetu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…