Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

Dr. Nchimbi anajulikana kwa kusimamia anachokiamini.

Mtakumbuka akiwa mjumbe wa kamati kuu, alitangaza hadharani kujitenga na uamuzi wa kamati kuu uliomuengua Mh. Lowasa kugombea urais.

Tofauti na wabunge wengi ambao wao kustaafu ni either ashindwe uchaguzi au afariki, Dr. Nchimbi, alitangaza kustaafu kugombea ubunge kwa hiari baada ya kuwa mbunge kwa vipindi viwili.

Akiwa katibu mkuu wa CCM, alipiga marufuku wimbo wa CCM unaosema, "Wapinzani, tuwalete, tuwachanechane, tuwatupe" Aidha ndie kiongozi pekee aliyemkemea, kada wetu wa UVCCM aliyewaambia polisi, "Tukiwapoteza wanaotukana viongozi msiwatafute"

Sina mashaka kuwa ni hii misimamo yake ndiyo iliyopelekea amebatizwa jina la YUDA.
 
gentleman,
ni muhimu sana waTanzania wote wazalendo kuzingatia na kuamini kauli za viongozi wetu wakuu wa kitaifa ikiwa ni pamoja na Dr Emmanuel John Nchimbi,ambae ni agenda ya taifa letu kwa mwaka 2030-2040.

hakuna haja ya kubabaika na porojo za kutafuta kiki za hao mamluki wa mabwenyenye ya magharibi πŸ’
 
Leo hata Mimi nimekuunga mkono, Mimi ni mwananchi huru!
 
We mzee ni mnafiki sana.
Ndio maana mayala alikupa kerbu moja
Ukabaki unayeya yeya oho nisamehe
 
Hii kauli imenifikirisha hata mimi!.

Nchimbi Dr, ni kama anaendelea kujiweka pembeni hivi..

Sasa sijui kama ametumwa au ndio dhamira yake..
NCHI IMEPIGWA NA STATE CAPTURE YA RAIA FEKI ...MPUUZI KIKWETE KAUZA NCHI MIKONONI MWA GENGE LA RAIA FEKI KINA ROSTAM AZIZI NA MASHEKH WALIO TENGENEZWA KWA KAZI HIYO
 
CCM kumbe bado kuna watu makini sana na wasema ukweli.
Ukifika kwenye vikao vyenu na wewe kazia hapo hapo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…