Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

Hawa ndio PhD holder tulio nao Tanzania.

Sishangai Msukuma anavyo watukana bungeni na wao kushangilia wakati wana tukanwa..
Itakuwa ni agizo kutoka kwa Malaika Mkuu wanna be ili “kuwasuta” waliomzushia kifo
 
Mzee Mungu kakuweka hai ili uweshuuda mzuri wa watanzania uwaeleze ukweli kabisa.

Sasa wewe unaleta siasa shauri yako!

Usije kua kama yona umetumwa ninawi unaenda kwingine utaliwa na samaki
 
Cevede imembwenga mpaka ameombapo
 
Tucheki bei ya jumla kama tunaweza fanya biznez eeh.... Joke
 
Kwani alikuwa anaumwa nini?
Kuna wengine pia wakiangalia jinsi alivyodhoofu wanaweza kupatwa na hofu kuu.
Ametupa tumaini sana kupona yeye imeonesha pia kumbe wapo wanaopona ametupa ujasir
 
Duu! Kwa hiyo kila mtu anatakiwa anunue mtungi wake wa oxygen kwa kujihami?
Maalim sefu alikuwa na mtungi kaondoka, hata katibu kijazi nae alikuwa na mtungi kaondoka
Itategemea mungu kakulinda vipi iki usife.
Kipindi cha mwaka jana watu walikuwa wanakufa na mitungi huko marekani sasa hapo shida ilikuwa nini?
Ukuona umepona hata kama una mtungi shukuru nungu wako.
 
Duh! COVID 21 ni kiboko aisee

Mzee wa kukopesheka na deni himilivu amekwisha kabisa aongea mixer kukohoa kohoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…