Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Hii video nimeangalia imeniumiza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ujingaKama anapenda je?
Hajapona asilani!Bado anaongea kwa taabu, sijui kwanini wamemruhusu kuongea na waandishi...
Kwani huyu naye alikuwa anasumbuliwa na corona?..katika mazungumzo yake na waandishi wa habari Waziri wa Fedha Dr.Mpango amesema alitumia mtungi wa oksijen kwa muda wa wiki 2 kabla hajahamishiwa hospitali...
Yap!Kwani huyu naye alikuwa anasumbuliwa na corona?
No! Alikuwa anazushiwa na yule KIGOGO!Kwani huyu naye alikuwa anasumbuliwa na corona?
Hapana , Alikuwa na changamoto ya upumuajiKwani huyu naye alikuwa anasumbuliwa na corona?
Hivi kifo kinachouma ni Cha mwana CCM tu? Sisi wapinzani tukiuwawa ni Kama kafa mbwa siyo?Amevuka hizi wiki mbili mlizomzushia kifo.
Halafu anakohoa kwenye kiganja cha mkono na baadae anakwenda kuwashika wauguzi mikono. 😡Huyu Mzee bado anaumwa hata Sura yake na sauti inatia mashaka.
kama mtungi wa Gesi umepungua mwambieni akajazie tena akae standby maana muda wowote anaweza kurudi tena
Nilikuwa na agenda yangu siku kadhaa huko nyuma but ilipelekea kupigwa burn.
👇🏾
Vaa barakoa na unawe mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko.
Embu ipigwe Kura huru utajua tu Ni asilimia ngap!Utakuwa mpumbavu kudhani utapendwa na kufurahiwa na wote. Hao waliofurahia kuugua kwake na kutaka afe ni asilimia ngapi ya watanzania?!
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kwanini unaruhusu chuki kuugubika ukweli!? Hakika hiyo ni hatarii kubwa kwa afya ya akili yako...Yap!!
..wananchi tunaambiwa tumetegemee MUNGU peke yake.
..wakati VIONGOZI wanategemea MITUNGI YA OKSIJEN, baada ya hapo ndio wanamlilia MUNGU.