TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

We jamaa mwongo sana....😂😂😂
Ila bado unaendelea tu Kusoma Posts zangu zenye Uwongo je, hapa nikikushauri ukajiandikishe kwa Watu wa DCEA ili uwemo katika ile List yao ya Watanzania Milioni 4 wana Utaahira nitakuwa Nakukosea au?
 
Alipataje huo ukuu wa Chuo?
.
1. Nafasi ilitangazwa wazi? Kwenye magazetti? Lipi? La lini?

2. Wali-apply wangapi? Shortlisted? Invited for interview? Interview scores? Panelists walikua wakina nani?

3. Nani alishinda interview? Scores zao?
Acha wivu,na itakusaidia nini kwa sasa?alishakua na akatoka akawa mbunge wa EALA,Mungu kamchukua,tumuombee apjmzike kwa amani,inatosha!
 
Alisoma Moro sec 1993 -1996.
 
Alipataje huo ukuu wa Chuo?
.
1. Nafasi ilitangazwa wazi? Kwenye magazetti? Lipi? La lini?

2. Wali-apply wangapi? Shortlisted? Invited for interview? Interview scores? Panelists walikua wakina nani?

3. Nani alishinda interview? Scores zao?
Acha arrogance. Sasa hayo maswali unamuuliza nani na utauliza wangapi? Una jibu la swali hilo kwa taasisi yoyote Tanzania?
 
Hii ndo shida kubwa ya JF siku hizi watu hawawezi kujenga hoja, kujibishana vizuri, kuelimishana na kueleweshana vizuri adi watukanane matusi mazito na kuitana majina ya ovyo ovyo......kaaazi kweli kweli 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…