Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

Ujinga huu... Ujinga mkubwaa .. hovyo kabisaa
 
Hizi siasa za aina hii naona zipo Tanzania pekee, sawa sikatai, Dr. Slaa ni haki yake kujiunga na chama chochote, lakini mbona amerudi kimya kimya? nakumbuka siku sio nyingi Lissu alimfagilia, nikajua ile ilikuwa ni dalili ya huyu mzee kurudi Chadema, na hapo sasa anaonekana anahutubia.

Nikitazama namna wanasiasa wengine wanavyotumika na CCM kwa nyakati tofauti, Lipumba kwa mfano, namuona na Dkt. Slaa ameingia kwenye huo mkumbo, na bahati mbaya sasa Chadema nao ni kama wamekubali kuingizwa kwenye huo mkumbo.

Wawe makini na huyo mtu, wasimpe nafasi kubwa ya kusikika wanachama na wapenzi wa Chadema wamzoee, halafu baadae tena aje kugeuza njiani awaache safarini peke yao.

Tukianza na lile la kumuita Lowassa fisadi kisha kumpokea, baadae tukaambiwa huyu alifichwa na mkewe nyumbani akasusa, leo amerudi tena. Haya mambo mwishowe yatawafanya viongozi wa Chadema waonekane hawana misimamo, na chama nacho kitaonekana "how comes" kwa wengine.
 
So Magufuli alipokuwa akichukua akina Katambi, Waitara,Sumaye CCM ilikua inaelekea shimoni?
 
Kwenye mapambano huwezi chagua silaha Kikubwa ushindi upatikane.
 
Jaribu kufuatilia siasa za Kenya, hayo mambo ni kawaida sana
 
Kama dikteta Magufuli hakuweza kuiua CDM baasi haitakufa leo wala kesho.
 
Lowassa aliyezaliwa CCM mlimpokea na kumuamini na kumpa nafasi ya kugombea uraisi. Iwe kwa slaa

Chadema wengi ni majuha, hayanaga akili
Wewe na maccm wenzako ni mataahira kabisa kwani huyo Slaa kabla ya kuwa Chadema si alitokea huko huko CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…